Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Leo nimeenda na Mgombea wangu kwenda kuchukua fomu ya Kugombe ubunge kwa Tiketi ya Chama Rafiki.Nimekuta tayari vyama saba vimekwisha chukua FOMU ila CCM na CHADEMA bado hawajachukua Fomu.
Nilipokuwa hapa kwa msimamizi wa uchaguzi kuna mambo ambayo nimeyaona na kuyatafakari hasa kuhusu CCM kuchelewa kutangaza watu waliopitishwa kugombea katika nafasi mbalimbali. Nimejiuliza sana iwapo sababu kubwa ni kuogopa chama kugawanyika zaidi au ni kutaka kucheza foul.
Kwa mtazamo wangu naona kabisa dalili ya CCM kuingia katika mgogoro mkubwa sana hasa ukizingatia kwamba CCM wagombea wengi waloshinda walitumia pesa.
Niseme tu Inatosha sasa kufikiri kwa KIAMA ya CCM imekaribia.
Tusubiri tuone