CCM Wanagwaya. Je, kiama chao kimefika?

Wanasubiri upinzani watangaze ili wajue aina ya wagombea wa kuwachagua kulingana na aina wagombea upinzani watakawachagua
That's nonsense. It can't help them avoid defeat.
 
Ninaposema CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao watu hawanielewi lakini CCM itajikaanga na kujitafuna yenyewe
 
Kwa mtazamo wangu naona kabisa dalili ya CCM kuingia katika mgogoro mkubwa sana hasa ukizingatia kwamba CCM wagombea wengi waloshinda walitumia pesa.

Niseme tu Inatosha sasa kufikiri kwa KIAMA ya CCM imekaribia.
 
Kigamboni wampe Mpoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…