Ziara ya Kihongosi na matamko ya hivi karibuni ya Butiku sio ya bahati mbaya ni mkakati uliopangwa ili kuchota akili za Watanzania.
Kihongosi aanze ziara Butiku ajitokeze kumponda kuwa anafanya siasa za hovyo, baadaye CCM ijitokeze kumpinga Butiku kwa softy statement iliyotoka leo.
Wanataka kutuaminisha kuwa Butiku yupo upande wa wananchi halafu wamtumie kwa malengo yao ambayo yatahitimishwa kesho kwa kuwaomba Watanzania waiamini tume ya uchaguzi na tume ya Chande, tumuamini Samia kuwa amechaguliwa kihalali, tumpe ushirikiano na tumpe muda kuwa anakwenda kuliponya taifa.
Nataka kuwaambia CCM na Butiku kuwa Watanzania wa sasa sio wajinga hawapo zama za giza wanaelewa kila kitu.