Butiku anafikiri hizi ni zama za mwalimu za ujanja ujanja.Ukimsikiliza yule mzee kwa makini utagundua anauma na kupuliza
Una akili sana. Hii ni movie na imepangwa na Butika akapewa maelezo anatakiwa ''akemee'' nini. Hebu chukuwa jambo moja alilokemea... eti wakati Ali Kibao anateremshwa na kundi la watu wenye silaha kutoka kwenye basi, abiria wenzake walikaa tu wanaangalia. Hivi hao abiria wana kosa gani? Je, kama ni polisi wamekuja kumkamata jambazi? Haya huyu sijui mwenzezi wa CCM anajizungusha mwenyewe bila kutumwa na na chama? Mwenyekiti wake muuaji Samia ndiye karuhusu halafu Butiku anakuja kupiga porojo za kishamba sana.Butiku anafikiri hizi ni zama za mwalimu za ujanja ujanja.
La Kibao ni moja kuna hili la kukemea CCM kufanya siasa akaacha kukemea Lissu kuwekwa mahabusi kwa muda mrefu bila sababu za msingi.Una akili sana. Hii ni movie na imepangwa na Butika akapewa maelezo anatakiwa ''akemee'' nini. Hebu chukuwa jambo moja alilokemea... eti wakati Ali Kibao anateremshwa na kundi la watu wenye silaha kutoka kwenye basi, abiria wenzake walikaa tu wanaangalia. Hivi hao abiria wana kosa gani? Je, kama ni polisi wamekuja kumkamata jambazi? Haya huyu sijui mwenzezi wa CCM anajizungusha mwenyewe bila kutumwa na na chama? Mwenyekiti wake muuaji Samia ndiye karuhusu halafu Butiku anakuja kupiga porojo za kishamba sana.