CCM WANAJIMWAGIA MAJI YA MOTO WANASEMA TINDIKALI

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza mnajimwagia maji ya moto ambayo Kila siku tunayaoga mnaema eti kamwagiwa TINDIKALIwezi nyie
 
Saaa uliwahi kumwagiwa maji ya moto usoni ukawa sawa?

Hata hivyo,

Wasiojulikana ,watendao UOVU huo ni muhimu kujulikana na kushughulikiwa.
 
Ndio nimeshaigiza sana hapa kwenyewe nimetoka kuyaoga
Kama alimwagiwa maji ya moto unayoweza kuyaoga, basi Kweli ni maigizo,

Lakini angekuwa amemwagiwa maji moto ya kunyonyolea kuku, Si maigizo hayo.
 
Kama alimwagiwa maji ya moto unayoweza kuyaoga, basi Kweli ni maigizo,

Lakini angekuwa amemwagiwa maji moto ya kunyonyolea kuku, Si maigizo hayo.
Maigizo hayo endeleeni kuigiza
 
Kwa akili ya kawaida hata wewe unaweza kukubali kumwagiwa maji ya moto usoni na mikononi ili ufanye maigizo?
 
Ni nani huyo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…