Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekuwa wezi baada ya tozo??? Unajua plc zinavyoendeshwa we bosiNani anakagua balance sheets zao?
Kama wanakwepa kodi? Au wanataka kuwadhulumu share holders "DIVIDENDS"
Tozo ni muhimu ili mradi tujiridhishe kuwa zinatumika kwa manufaa yaliyo dhahiri kwa watanzania kama ujenzi wa barabara nkWote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi.
Hivi huyu Mwigulu Nchemba, anajua "impact" ya tangazo hilo kwa uchumi wa nchi hii??
Ni dhahiri kuwa hivi ninavyoandika "post" hii, wawekezaji kwa maelfu, aidha walioko nchini hivi sasa, au wale waliopanga kuja nchini kuwekeza, weshabadili mawazo na kuamua kutowekeza nchini kwetu.
Ninajaribu ku- imagine, hivi huyu Mwigulu Nchemba, ni kwanini ana roho ngumu kiasi hiki na hataki kujiuzuru, pamoja na kuwa yeye ndiye "source" ya janga hili la kuporomoka vibaya kwa uchumi wetu, kutokana na tozo zake za dhuluma, ambazo wananchi wamezipigia kelele Sana??
Huyu Mwigulu Nchemba, amefikia mahala anatudhihaki watanzania, eti asiyetaka kulipa tozo hizo ahamie nchi jirani ya Burundi!
Lakini hiki kiburi na jeuri anayoonyesha huyu Mwigulu Nchemba, inatokana na hii nchi kutokuwa na Katiba mpya ambayo itakuwa yenye kukidhi mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, kwa kuwa yeye Mwigulu anajua hata kama Umma wa watanzania watapinga tozo hiyo, lakini wakati wa uchaguzi mkuu utakapofika, Tume ya uchaguzi, itamtangaza yeye, kuwa mshindi, kwa kuwa tu ni mgombea wa CCM!
Lakini angejua thamani ya sanduku la kura, asingefanya uamuzi wa hovyo kiasi hiki.
KWA hiyo ni muhimu sana kuliko kitu chochote Katika nchi hii kwa hivi sasa, Rasimu ya Jaji Warioba, ambayo ndiyo Katiba iliyotokana na maoni yetu wananchi, irudi mezani na ndiyo itakayokuwa mkombozi wa Maisha yetu watanzania
Mungu ibariki Tanzania.
Mkuu amesema sio yutong tuu hata bajaji hajawahi kumiliki maskin kama yeye[emoji2][emoji2][emoji2]Tunatozwa na kulipa kodi halafu wakubwa wananunulia Yutong
Kwani hilo hulijui mkuu?,subiri uone Steve Nyerere anavyokula teuzi ndio utajua hujui[emoji1787]I
Umeongea ukweli mtupu.
Ili ujihakikishie nafasi kwenye Serikali hii, siyo kwa kutenda Mema kwa nchi hii, bali ni kwa kujipendrkeza kwa wakubwa![emoji3064]
Mwenye hisa za benki nawashauri ziiuzeni kabla hamjapiga mwereka mwambani. Mana benki zitakosa liquidityYale makato ya benki lazima wawekezaji wakimbie
Hasara ealiyopata Vodacom imebakia Mifukoni kwetu Kwa Kukataa kufanya MiamalaWote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi.
Hivi huyu Mwigulu Nchemba, anajua "impact" ya tangazo hilo kwa uchumi wa nchi hii??
Ni dhahiri kuwa hivi ninavyoandika "post" hii, wawekezaji kwa maelfu, aidha walioko nchini hivi sasa, au wale waliopanga kuja nchini kuwekeza, weshabadili mawazo na kuamua kutowekeza nchini kwetu.
Ninajaribu ku- imagine, hivi huyu Mwigulu Nchemba, ni kwanini ana roho ngumu kiasi hiki na hataki kujiuzuru, pamoja na kuwa yeye ndiye "source" ya janga hili la kuporomoka vibaya kwa uchumi wetu, kutokana na tozo zake za dhuluma, ambazo wananchi wamezipigia kelele Sana??
Huyu Mwigulu Nchemba, amefikia mahala anatudhihaki watanzania, eti asiyetaka kulipa tozo hizo ahamie nchi jirani ya Burundi!
Lakini hiki kiburi na jeuri anayoonyesha huyu Mwigulu Nchemba, inatokana na hii nchi kutokuwa na Katiba mpya ambayo itakuwa yenye kukidhi mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, kwa kuwa yeye Mwigulu anajua hata kama Umma wa watanzania watapinga tozo hiyo, lakini wakati wa uchaguzi mkuu utakapofika, Tume ya uchaguzi, itamtangaza yeye, kuwa mshindi, kwa kuwa tu ni mgombea wa CCM!
Lakini angejua thamani ya sanduku la kura, asingefanya uamuzi wa hovyo kiasi hiki.
KWA hiyo ni muhimu sana kuliko kitu chochote Katika nchi hii kwa hivi sasa, Rasimu ya Jaji Warioba, ambayo ndiyo Katiba iliyotokana na maoni yetu wananchi, irudi mezani na ndiyo itakayokuwa mkombozi wa Maisha yetu watanzania
Mungu ibariki Tanzania.
Mbowe/Lissu angekuwa rais tusingekuwa na haya mambo ya kijinga, au unasemaje ndugu yangu.?Tunatozwa na kulipa kodi halafu wakubwa wananunulia Yutong
Babu Tale na Msukuma ndiyo wangeyadhibiti kabisa haya mambo ya kijingaMbowe/Lissu angekuwa rais tusingekuwa na haya mambo ya kijinga, au unasemaje ndugu yangu.?
Mwigulu ni Rais wa hii nchi? Hili suala lipo chini ya Samia siyo Mwigulu.Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi.
Hivi huyu Mwigulu Nchemba, anajua "impact" ya tangazo hilo kwa uchumi wa nchi hii??
Ni dhahiri kuwa hivi ninavyoandika "post" hii, wawekezaji kwa maelfu, aidha walioko nchini hivi sasa, au wale waliopanga kuja nchini kuwekeza, weshabadili mawazo na kuamua kutowekeza nchini kwetu.
Ninajaribu ku- imagine, hivi huyu Mwigulu Nchemba, ni kwanini ana roho ngumu kiasi hiki na hataki kujiuzuru, pamoja na kuwa yeye ndiye "source" ya janga hili la kuporomoka vibaya kwa uchumi wetu, kutokana na tozo zake za dhuluma, ambazo wananchi wamezipigia kelele Sana??
Huyu Mwigulu Nchemba, amefikia mahala anatudhihaki watanzania, eti asiyetaka kulipa tozo hizo ahamie nchi jirani ya Burundi!
Lakini hiki kiburi na jeuri anayoonyesha huyu Mwigulu Nchemba, inatokana na hii nchi kutokuwa na Katiba mpya ambayo itakuwa yenye kukidhi mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, kwa kuwa yeye Mwigulu anajua hata kama Umma wa watanzania watapinga tozo hiyo, lakini wakati wa uchaguzi mkuu utakapofika, Tume ya uchaguzi, itamtangaza yeye, kuwa mshindi, kwa kuwa tu ni mgombea wa CCM!
Lakini angejua thamani ya sanduku la kura, asingefanya uamuzi wa hovyo kiasi hiki.
KWA hiyo ni muhimu sana kuliko kitu chochote Katika nchi hii kwa hivi sasa, Rasimu ya Jaji Warioba, ambayo ndiyo Katiba iliyotokana na maoni yetu wananchi, irudi mezani na ndiyo itakayokuwa mkombozi wa Maisha yetu watanzania
Mungu ibariki Tanzania.
Very trueMchumi ama mchumia tumbo. Kuna Nini amebuni zaidi ya kuangalia kuibia wananchi kisa tu ana madaraka. Angewekeza Sera nzuri investors waje wawekeze wao wachukue Kodi. Ila anajiona mjanja 🤠 Kama mie jamani
Nakubali nakubali mzee wanguBabu Tale na Msukuma ndiyo wangeyadhibiti kabisa haya mambo ya kijinga