CCM wanajua wawekezaji wataikimbia nchi baada ya Vodacom kutangaza hasara iliyotokana na tozo?

Hakuna kampuni ya simu inayopata hasara hivyo ni vichwa vya habari tu
 
Tozo ni muhimu ili mradi tujiridhishe kuwa zinatumika kwa manufaa yaliyo dhahiri kwa watanzania kama ujenzi wa barabara nk
 
I

Umeongea ukweli mtupu.

Ili ujihakikishie nafasi kwenye Serikali hii, siyo kwa kutenda Mema kwa nchi hii, bali ni kwa kujipendrkeza kwa wakubwa![emoji3064]
Kwani hilo hulijui mkuu?,subiri uone Steve Nyerere anavyokula teuzi ndio utajua hujui[emoji1787]
 
Yaani serikali wanatukamua tozo mpaka tunashituka.
Mimi binafsi nilikuwa naichangia serikali wastani wa 6,000 mpaka 10,000 kwa kutoa tu kwa MPESA.

Sasa na mimi nimegundua njia ya kupunguza maumivu ya tozo nalipia chini ya buku kwa wiki kwa miamala ile ile na zaidi. Hawanipati tena hata washushe tozo.
 
Moja wapo ya mambo yanayowakimbiza wawekezaji ni kutotabirika kwa sera za nchi husika.

Kwa staili hii ya kuibua levies pale mtu anapojisikia tu , zile nyimbo za kuifungua nchi zitakua zinapeperuka na kutoka dirishani.

Wazo la mtu mmoja sote ni mashuhuda limeleta hasara ya Bilioni 100 kwa kampuni moja tu.

Bado kwa maelfu ya makampuni na maumivu kwa mamilioni ya wananchi.

Tujisahihishe.
 
Sio huyu Jamaa hana roho ngumu Bali huyu MTU ni Godless
 
Mchumi ama mchumia tumbo. Kuna Nini amebuni zaidi ya kuangalia kuibia wananchi kisa tu ana madaraka. Angewekeza Sera nzuri investors waje wawekeze wao wachukue Kodi. Ila anajiona mjanja 🤠 Kama mie jamani
 
Hasara ealiyopata Vodacom imebakia Mifukoni kwetu Kwa Kukataa kufanya Miamala
Ngoma Droo
 
Yeye hana shida huduma zote anapata bure, hata mapato yakipungua hayamuhusu
 
Mwigulu ni Rais wa hii nchi? Hili suala lipo chini ya Samia siyo Mwigulu.
 
Mchumi ama mchumia tumbo. Kuna Nini amebuni zaidi ya kuangalia kuibia wananchi kisa tu ana madaraka. Angewekeza Sera nzuri investors waje wawekeze wao wachukue Kodi. Ila anajiona mjanja 🤠 Kama mie jamani
Very true

Weka kiwango cha kodi, kitakachokuwa "affordable" kwa wananchi wote, lakini siyo kwa misururu ya kodi aliyo-introduce Mwigulu🥺
 
Watakimbia vipi wakati kuna R4 sijui anamaanisha huyu Bi KIZIMKAZI.
 
Mwigulu ni Rais wa hii nchi? Hili suala lipo chini ya Samia siyo Mwigulu.
Kwenye nchi hii, Rais anachopenda ni sifa nzuri pekee, jumba likishaporomoka, wanasakiziwa wengine!🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…