Sarakasi walizofanya kwenye mabaraza na lawama na matusi yanayoelelezwa kwa Warioba kana kwamba yeye ndiye anayeamua nini kiwepo na nini kisiwepo katika katiba mpya ni mbinu za ccm kumtisha? Kwani Tume ni warioba peke yake. Ccm kemeeni hawa makada wenu la sivyo naiona tume ikijiuzulu na mchakato mzima kuvurugika. Na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuiingiza nchi ktk machafuko makubwa. Kikwete be careful!
Suala la kupata katiba mpya ni ajenda ya kikwete na wapinzani, na sio maccm, ndo maana wanampiga vita kikwete kwa kuingiza washauri wa ovyo kwenye suala hili ili wavuruge mchakato mzima wa kupata katiba mpya!!
wazo zuri! ila samahani nataka kukuuliza' machafuko yapi! navipi yanaweza tukokeaje nini chanzo labda! naomba unielekeze!
Kichwa cha habari: CCM wanajuta kuingia kwenye mchakato. Habari yenyewe: CCM kemeeni makada wenu la sivyo Tume itajiuzulu. Kama mleta mada siyo mburula a.k.a kilaza a.k.a mbumbumbu a.k.a pimbimaji atakuwa nini sasa?
Wameiona nguvu ya umma ilivyo,wametetemeka. Walidhani kwa kukaririsha maonii yao ya nec wanachama wao itawaokoa.
Tena nawasihi warioba na tume yake wasitishwe wala wasirudi nyuma. Tunatengeneza katika ya watanzania sio ya ccm, na tume wanaanda katika kwa mujibu wa maoni ya watanzania walio wengi kuliko hao maccm.
Utapata viti maalum kazana!!Radhia Sweety said:Huyo ni kilaza. Hivyo usitarajie jibu kamilifu kutoka kwake.
Mkuuu, kwani Tume ina kazi gani kubwa imebaki katika mchakato ufuatao; Bunge la Katiba, Kura za Maoni na Kusainiwa?
Kichwa cha uzi huu kibadirishwe na kuwa: CCM HOI KABISA MCHAKATO WA KATIBA
Mkuu siyo bure umerogwa umeandika pumba hasa hoja zingine sijui huwa mnazitoa wapi.Sarakasi walizofanya kwenye mabaraza na lawama na matusi yanayoelelezwa kwa Warioba kana kwamba yeye ndiye anayeamua nini kiwepo na nini kisiwepo katika katiba mpya ni mbinu za ccm kumtisha? Kwani Tume ni warioba peke yake. Ccm kemeeni hawa makada wenu la sivyo naiona tume ikijiuzulu na mchakato mzima kuvurugika. Na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuiingiza nchi ktk machafuko makubwa. Kikwete be careful!
Umesema kweli mkuu ni huyu mleta hoja hewa kabisa.Mleta mada hana uelewa wa kutosha. Kwa maneno mengine, ameishia Form 4
Nguvu ya umma unayosema ni ipi? au ni ile ambayo imesababisha viongozi wenu vihiyo waungane? kwa kuwa ccm ndo ina wabunge wengi, ni wazi kuwa ndiyo inayowawakilisha wananchi wengi na kwa hali hiyo nguvu ya umma ipo ccm