Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Nguvu ya umma unayosema ni ipi? au ni ile ambayo imesababisha viongozi wenu vihiyo waungane? kwa kuwa ccm ndo ina wabunge wengi, ni wazi kuwa ndiyo inayowawakilisha wananchi wengi na kwa hali hiyo nguvu ya umma ipo ccm
Kwani nini mnafanya uchakachuaji kwenye uchaguzi sasa kama kweli uma unawakubali nyinyi?