ok.🐒Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi.
"Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa mwenza wake. Lakini ajabu, hadi sasa sijamuona Heche kufika Kizimkazi ili kupeleka ujumbe huo wa Mwenyekiti wake TL. Liko tatizo kubwa CDM!!" Ally Hapi.
View attachment 3669894
Hili nalo neno.Nimewaona baadhi ya viongozi wa dini huko kizimkazi; kuna mwakikishi wa TEC aliyefika huko?
Badala ya kuzuia watu wasimkumbatie hovyo hovyo mjane akiwa kwenye "iddah" yeye analilia rambirambi kutoka kwa viongozi wa CHADEMA ili waziweke picha hadharani kusudi wazitumie kufanya propaganda ya hadaa kuhusu maridhiano.Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi.
"Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa mwenza wake. Lakini ajabu, hadi sasa sijamuona Heche kufika Kizimkazi ili kupeleka ujumbe huo wa Mwenyekiti wake TL. Liko tatizo kubwa CDM!!" Ally Hapi.
View attachment 3669894
Najua kesho LISSU ataongea juu ya huu opotoshaji .
LISSU alikuwa anakejeli Tu na msiba ila WAJINGA wamebeba na kufanya ajenda
WataendaNimewaona baadhi ya viongozi wa dini huko kizimkazi; kuna mwakikishi wa TEC aliyefika huko?
Siku samia anaapishwa kikombo TEC walimtuma padri kuwakilisha, unakumbuka?Wataenda
Sikumbuki! Lkn siku ya kuapishwa huwa ni maalum, je Kuna siku maalum ya kupokea salamu za pole kwenye msiba?Siku samia anaapishwa kikombo TEC walimtuma padri kuwakilisha, unakumbuka?
Yes, within three days kama hauko mbali sana na hakuna matatizo ya usafiri. Hiyo ni unwritten rule ya kiafrika.Sikumbuki! Lkn siku ya kuapishwa huwa ni maalum, je Kuna siku maalum ya kupokea salamu za pole kwenye msiba?
Pole haina muda maalumu lkn siyo unapita mwaka ndipo upeleke rambirambi itakuwa siyo pole tena bali kuwakumbusha machungu.Sikumbuki! Lkn siku ya kuapishwa huwa ni maalum, je Kuna siku maalum ya kupokea salamu za pole kwenye msiba?
Upo sahihi kupeleka rambirambi au pole baada ya miezi 6 ni kukumbusha machungu.Yes, within three days kama hauko mbali sana na hakuna matatizo ya usafiri. Hiyo ni unwritten rule ya kiafrika.
Huenda km ulivyosema kuna tatizo/matatizoYes, within three days kama hauko mbali sana na hakuna matatizo ya usafiri. Hiyo ni unwritten rule ya kiafrika.
Uko sahihiPole haina muda maalumu lkn siyo unapita mwaka ndipo upeleke rambirambi itakuwa siyo pole tena bali kuwakumbusha machungu.