CCM wanalilia salamu za rambirambi kutoka CHADEMA.

Hali ni tofauti unapo waseme ila hapo nyumbani kwenu Hali ni Tete zaidi
 
Kwani kutoa pole tunalazimishwa? Kwani mzee wa Ubwabwa ameonekana kwenda kutoa pole?
 

Mbona hawajamuachia Nchimbi ili kwenda kutoa rambirambi huko Kizimkazi.

Kwa jinsi wanavyolazimisha kuufanya huu msiba kama wa Kitaifa binafsi nawashangaa. Hivi kabla ya Kifo huyo Mme nani alikuwa anamjua. Kabla ya kifo nafikiri ni watu wachache sana wangewea kumtambua bila kuwambia huyo ni nani. Sidhani kama ameshaonekana hadharani na maza zaidi ya mara mbili. Yaani hata safari tu hakuwai kwenda naye ..... hii Eda mimi naona ni njia tu ya kujificha kuepuka kelele.
 
Lissu Yuko gerezani zaidi ya mwaka na haonani hata na mawakili wake wala mkewe. Wewe uko na uhusiano gani na Lissu Hadi ujue mawazo yake kwamba anakejeli tuu?
Lissu ni public figure msimamo wake unajulikana hata ukiwa ulaya.
 
Asante... huu msiba sio wa kitaifa. πŸ‘πŸ‘πŸ‘ wanataka uonekane wa kitaifa.
 
Lissu kawadhihaki tu

Imajine yaani hawawezi kuona hata vitu vidogo dogo tu kama hivyo. Ukiangalia kwa jinsi Lissu alivyoongea ni PURE SARCASM. Nashangaa wanaichukulia serious. Yaani Heche aache kujiandaa na kesi aande Kizimkazi. Yaani hiyo ingekuwa skandali ambayo wengi tusingemsamehe.
 
We uwajui wanatafuta picha tu, ili waendelee kufanya usanii wao.


Picha picha picha ndio zinazohitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…