Tunakusudia tume huru ya ukweli iliyoridhiwa na wadau wote was uchaguzi vikiwemo vyama vya siasa.
Hatukusudii hii ya Sasa ambayo mwenyekiti wa CCM ndio huwachagua mwenyekiti wa NEC na mkurugenzi wake.
Hatukusudii tume huru hii ya Sasa ambapo serikali ya CCM inakataa rulling ya mahakama ya kutowatumia wakurugenzi wa halmashauri na manispaa Kama maofisa wa tume.
Hatukusudii tume hii ambapo matokeo ya urais hayahojiwi mahakamani na wakati huo huo Rais Kama mgombea wa chama ndie hutoa maelekezo ya Nini wafanye wateule wake.
Hatukusudii tume hii ambayo haiheshimu malalamiko ya wadau kuhusu rafu za wakurugenzi ambao wanawasumbua wapinzani na kuwafanyia Kila njama ikiwemo kufunga ofisi siku za kurejesha fomu bila kuchukuliwa hatua wahusika.
Ukweli unabaki kwamba CCM bila kutumia vyombo vya dola na kubebwa na tume ni ngumu kupita maeneo mengi.
CCM inanufaika na dola kwa sababu dola ndio CCM na CCM ndio dola yenyewe.
Hatua zozote za kuweka mazingira sawa na kupatikana tume huru ya ukweli CCM itapata tabu.
Hili wanalijua Tena kote bara na Zanzibar.
CCM bila mizengwe ya tume ni wepesi. CCM hawataki tume huru ya ukweli.
CCM na tume huru ya ukweli ni Kama Moto na maji. CCM ni waoga wa tume huru.
Kishada