mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Mimi ni mtumishi wa umma na CCM. Lakini kura yangu iko kwa Tundu Lissu maana ndo ananipa matumaini.Tupo tayari kabisa kupambana nao. SASA BASI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mtumishi wa umma na CCM. Lakini kura yangu iko kwa Tundu Lissu maana ndo ananipa matumaini.Tupo tayari kabisa kupambana nao. SASA BASI
Bado vijiji 2500 havijawekewa umeme,walitegemea tunawasha taa tu?Kwa taarifa yenu watu wa vijijini wanafuatili Sky News,Aljazeera,BBC News,CNN,CCGT,Social Media kama Facebook, Twitter, WhatsApp, Instagram nk.Mlitegemea nini nyie?Tumeona vijijini,ccm wanadhana kuwawekea tbc pekee ndo wataweza mind control,mind control aliweza Nyerere pekee zamani, hata Sasa asingeweza control akili za watu. Wanajidanganya eti Lisu ajulikani vijijini sasa Kama trump tu anajulikana vijijini sembuse Lisu.
Hivyo vitengo havihitaji mtu mkweliOgopa sana mtu anayekuwa kwenye kitengo cha "msemaji wa kitu fulani"
Msemaji wa timu
Msemaji wa chama
Msemaji wa kampuni.
Cha kujiuliza ni kuwa je Hilo group la wanachama wao lote linafaidika na mema ya nchi?je lenyewe watoto wao sheria kandamizi za mikopo vyuoni haziwahusu? Fao la kujitoa je?wao hivi na nk ambavyo ni kandamizi haviwahusu? Kama nao wanaumia kama wengine halafu wakapgia kura mfumo zamani ,basi kuna kitu wanasiasa watakua wanatufanya Kwenye mbongo zetu ila mimi simo!!!Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Kupata kura za ushindi ni SAYANSI na CCM wanalijua hilo.Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Hiii point wengi wanaipuuza sana,,, ccm hupenda kujimwambafy kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama!Wanatakiwa kuelewa kua mwanachama wako hana mkataba na wewe kuhusu uamuzi wake wa kupiga kura. Uanachama unabaki kua uanachama na maamuzi ya nani ampigie kura anabakinayo mru mwenyewe, haviingiliani
Eeeh asee kumbe Chadema ina wanachama wangapi ,tuanzie hapo kwanza.Mwaka 2015 ccm haikushinda waliiba kura na sasa mwaka 2020 ccm inachukiwa sana watu wengi hasa wafanyabiashara watumishi wa umma wameathirika na sera na mateso ya ccm na wote hawataipigia kura ccm
Wanategemea kuingiza masanduku ya kura feki, mwaka huu watabaki nayo Lumumba
Hawa watu ni walaghai mnoo.Chama cha Mbowe kina wanachama wangapi mpaka sasa?.
Wanawahesabia na wajumbe waliopokwa maamuzi yao ?,imekula kwao.70% ya wanachama wa ccm hawatampigia kura Magufuli .
Mtaelewa tu mwaka huuAnaweza kuwa sahihi kwa maana ya jumla - lkn huenda shida ikatokana wengi wakawa ni wanachama lkn wasio hai
Pili upigaji kura ni kitendo kinachofanywa na mpiga kura baada ya kupima sera na ilani za vyama hivyo ukaja kukuta finally wanachagua mwingine,
Tatu, suala la tumbuatumbua ukakuta waliotumbuliwa, ndugu zao, rafiki zao, watoto wao wakaamua kupigia kwingineko kwa ghadhabu
Nne, kuporomoka kwa bei za mazao ya kibiashara (pamba 2100 - 870), (kahawa 2300 - 1100), (korosho 2800 - 2100), (muhogo 600 - 250) vyote hivi vinagusa wakulima vijijini - hivyo upo uwezekano wa kupoteza kura za wanaccm wengi;
So, CCM tubuni njia za dharura ili kujihakikishia ushindi 2020
Kama Chadema imepoteza umaarufu mbona Magufuli anafoka sana majukuani?Polepole yupo sawa, Chadema imepoteza umaarufu,na sisi wenye machungu na chama tumechukia.
Mimi ni mwana CCM na kadi ninayo ila kura yangu haipo pamoja na wao.Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Nikiwemo mimi hapa70% ya wanachama wa ccm hawatampigia kura Magufuli .
Hii CD imegoma weka nyingine DJUpepo wa lowasa huwez kulinganisha na huyu beberu wenu