Upinzani ni lazima waelewe huwezi kuwa na serikali ya kitaifa bila katiba kufanyiwa mabadiliko na hawa CCM hawatafanya mabadiliko. Yaani chama ambacho kinaengua wanakijiji mnafikiri watawapa kazi serikalini!. Habari za ndani ni kwamba wameanza kuongea na upinzani eti CCM na upinzani waunde serikali ya kitaifa. Msidanganywe kama kweli kuna nia njema basi katiba mpya iwepo.
Kauna watakao kimbilia hapa kupiga madongo wapinzani lakini kama unajali nchi yetu ni lazima tuwe na mfumo imara tuchague kama tunataka demokrasia tuwe na demokrasia kama hatutaki tuweke sheria wazi ili wananchi tupiganie maendeleo na sio hii midundiko. Yaani Tanzania kama hapo nyumba ni Mungu tu ndiye atabadilisha hii nchi bila watu kutegemea.