Aise hapo hakuna demokrasia ya kweli, kama kungekuwa na demokrasia ya kweli, tusingeshuhudia bunge likipoteza muda kiasi hicho, eti kwa sababu ya ccm wanaoleta ajenda ya kipuuzi mbele ya bunge bila hoja za msingi, ccm wanang'ang'ania kura ya wazi, si vituko hivi, na mpaka sasa bado kuna mvutano, wanakaa vikao vya siri kulazimishana, demokrasia iko wapi hapo, mwenyekiti wa muda naye anaruhusu upambavu kama huu uzidi kupoteza muda, kama demokrsia ipo kweli, tungeona katupilia mbali upuuzi wa ccm na kuchukua uamuzi wenye maslahi kwa taifa, na sio kwa chama kimoja.