Ukiangalia mwenendo mzima wa CA mpaka sasa, ni dhahiri CCM imeshindwa hoja. Ingekuwa Katiba ni kampeni ya uchaguzi, CCM wangeshaiba kura au kupiga wapinzani mabomu. Ila kwa sababu hakuna polisi ndani ya CA, akina Ole-Sendeka wanaishia kutoa machozi tu.
Aisee, demokrasia ya kweli ni tamu sana!
Aisee, demokrasia ya kweli ni tamu sana!