Pre GE2025 CCM wanatengeneza "elite clique"?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uko sahihi kabisa

Duniani hakunaga Kitu kisicho na mwenyewe hata misikiti ina Wenyewe Bakwata ni mwamvuli tu

Makanisa vile vile liko la Papa, la Gwajima, la Mzee wa Upako, La Dr Shoo, la Malasusa nk...nk

Ulale unono πŸ˜€
 
Ipo karibu dunia nzima! Ndiyo maana ukaitwa mfumo! Mfano mzuri kama unajua mpira nenda kajaribu upate nafasi Simba au Yanga kama utafanikiwa bila mfumo wao kukutambua!Hii ipo kwenye sekta zote za ulaji duniani!
Pia neno hilo "Elite Clique" laweza kutolewa mfano mwingine ambao huwa nautumia uitwao kama mfumo wa Kleptokrasia ambao hutengenezwa na kikundi cha wapigaji.

Hawa huwezi kujiunga nao hadi pake watapordhika nawe kuwa wafaa kuwa mpigaji.
 
Ipo karibu dunia nzima! Ndiyo maana ukaitwa mfumo! Mfano mzuri kama unajua mpira nenda kajaribu upate nafasi Simba au Yanga kama utafanikiwa bila mfumo wao kukutambua!Hii ipo kwenye sekta zote za ulaji duniani!
Yaani mfumo unabagua? Haipo Dunia nzima.

Hapa hatuzungumzii watoto wa wakubwa kushika madaraka Bali madaraka hayo kupatikana kwa mbinu za wazazi wao kuweka Mazingira ya wao kuwa wakubwa.
 
Yaani mfumo unabagua? Haipo Dunia nzima.

Hapa hatuzungumzii watoto wa wakubwa kushika madaraka Bali madaraka hayo kupatikana kwa mbinu za wazazi wao kuweka Mazingira ya wao kuwa wakubwa.
Sawasawa yaani kwa mifano ya hapo juu Nepotism huhakikisha mlolongo wa watu fulani haupungui na waendelezwa na kulindwa.

Nepotism ikiona Factionalism yaleta tishio basi huweza kukabiliana nayo kwa namna mbalimbali.

Na mfumo wa Kleptokrasia ukiwa imara waweza kuwa na sauti nani awe raisi na nani awe waziri au nani ashike nafasi yoyote kwenye serikali, taasisi au idara yoyote ile.

Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa nasaha zake kuhusu serikali kuwekwa mfukoni na wapigaji. Ikifikia hali hiyo basi hakuna serikali na chama chabakia kuchagua wasemaji wa kupiga soga majukwaani.
 
Nadhani sikosei kusema umekurupuka kujibu ili uonekane ila mtoa mada ameeleweka.
 
Kwanini asiwe kama ana uwezo?.

Kuna ubaya gani?.

Sii kweli!. Posts ni nyingi sana, hata viongozi wote wakileta wake zao na watoto wao, posts, zitakuwa bado zipo!.

Hakuna ubaya wowote, as long as wana karama ya uongozi na wana uwezo.
P
Kaka Pascal , text me on my whatsapp +255686525185 . I want to send your pictures , the ones i took u in Dodoma . I lost ur number big bro .
 

Attachments

  • IMG_0149.JPG
    382.9 KB · Views: 1
Hiyo kitu hutoisikia tena,

Mwisho ni 2025
Itaishaje Mkuu?

Maana naona hata harakati za kupiga chenga mifumo ya kiuchaguzi ya CCM imeshika kasi. Si umesikia ya Mchengerwa?
 
Kama magufuli aliweza urais,nchi hii nani atashindwa??hata sabaya anaweeza
 
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸ‘πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸŽ–οΈπŸ›‘οΈ
 
vyama vingine wanajishughulisha zaidi kuwajengea wanachama na viongozi wao uwezo wa kua na mihemko ya kiwango cha juu sana na ujasiri wa kuporomosha dhihaka kwa wananchi na matusi tu kwa viongozi wa vyama vingine vya siasa,

sasa unadhani kwa hali hiyo watafika wapi gentleman πŸ’
 
Ccm ina wenyewe bhana ...
 
Kwani wanakwenda wapi?
kama chama makini na madhubuti cha siasa, ni lazma kuwepo na vision na succession plan ya miaka hata elfu moja ijayo ya kusonga mbele,

sasa kama cha siasa hawajui hata wanako elekea , huo si ni sawa na uganga au ushirikina tu gentleman? πŸ’
 
Ccm ina wenyewe bhana ...
Na wenyewe ndiyo kina Nape mtoto wa Mzee Moses Nnauye au January Mtoto wa Mzee Yusuph Makamba.

Wenye CCM yao ni kina Halima mtoto wa Abdalah Bulembo au mshikaji wao Adam mtoto wa Kighoma Malima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…