Pre GE2025 CCM wanatengeneza "elite clique"?

Pre GE2025 CCM wanatengeneza "elite clique"?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shots fired👉💥💥
==========
Tanzania is a very Unique Country

Hakuna kama yeye.
 
Hivi Anthony mavunde ni mtoto wa aliyekuwa Meya wa Dodoma Mzee Peter Mavunde?
 
Yeyote mwenye kuweza tukimpa ufalme au umalkia sio mbaya.. kwani tunachotaka si haki na maendeleo?🤔
Narudia tena, maendeleo yanaweza kuletwa na hao hao? Maana kama ni haki hiyo hakuna.
 
Mbunge wa namtumbo Vita kawawa ni mtoto wa Mzee Rashid Kawawa?
 
Kwani Familia ya Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete ndio Imejaza nafasi zote za uwaziri,ukuu wa Mkoa,wilaya,ukurugenzi wa halmashauri,Ma Das,Ma Ras,wabunge zaidi ya mia 3, Madiwani ,ma DSO na wengine wengi tu. Nafasi ngapi zipo hapa Nchini? je hiyo Familia ya Kikwete Imejaza nafasi hizo zote?

Kwani Mtela Mwampamba ambaye ni DAS huko Songea ni mtoto wa Kikwete? Juliana Shonza ambaye ni mbunge naye ni mtoto wa Kikwete?

Acheni mawazo ya kijinga na ubaguzi.acheni wivu wa kijinga jinga hapa..Mimi ni CCM na sioni ubaya mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi ikiwa ana sifa zote zinazohitajika katika nafasi husika . Kuwa mtoto wa kiongozi hakumzui yeye kuwa kiongozi wala kupambania nafasi fulani ya uongozi.

Ndio Maana unaona George Bush alikuwa ni Rais wa Marekani miaka michache tu baada ya baba yake naye kuwa Rais. Mtoto wa mchungaji hazuiliwi kusomea na kuwa mchungaji ikiwa ana wito huo na kaitwa na Mungu kwa kazi hiyo.

Kikubwa ni lazima ufahamu uongozi ni Karama,ni kipawa ni kibali kutoka kwa Mungu. Siyo kila mtu anaweza kuwa kiongozi au kuongoza watu. Kuongoza watu ni kazi ngumu yenye kuhitaji akili,busara,hekima ,umakini na utulivu wa kiakili. Siyo kazi ambayo kila mmoja anaweza kuifanya.
Hebu usitupigie kelele bwana
 
Nafikiria tu CCM ilitoa wapi hela zote zile za kuwalipa hao wasanii wote wa nchi hii kule Dodoma. Yaani sasa hivi kuwa Chawa wa CCM kunalipa zaidi kuliko kuwa mwalimu wa chuo kikuu pale UDOM ukifundisha Digital electronics.

Na ndiyo maana kina Doto Magari wanatamba wanakwambia elimu yako wewe imekusaidia nini wakati kila kukicha ni madeni..huna kitu.

Lazima kama nchi tufanye kitu, huu mfumo siyo kabisa!! Unatupeleka shimo la tewa.
 
Back
Top Bottom