Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Adui mwombee njaa...
Huu msemo pengine ndio maccm wanautumia ili kufanikisha azma yao ya kutaka kuufuta upinzani bila kujua ndio inajichimbia kaburi!
Kufuatia wimbi la hama hama, ambapo wengi walidai wanamuungo mkuno rais, ni kuwa hoja hiyo sasa imekosa mashiko na badala yake imeibuka hoja kuwa kuna mgogoro cdm ambao chanzo chake ni mbowe!
Bila shaka huu ni mkakati wa kisiasa ulioanzishwa ili kuzidi kuidhoofisha cdm na pengine kutaka mbowe an'goke kwa kuwa yeye amekuwa mwiba mkali sana kwao...
Kila njia na mbinu zinatafutwa na kutumika ili lengo litimie ila , ukweli ni kuwa chadema ipo imara zaidi na zaidi na hasa kipindi hiki!