CCM wanauhalali wa kujimilikisha viwanja vya sabasaba?

Hao ni majambazi tu wasio na chembe ya aibu. Huoni hata viwanja vya mpira wa miguu wamejimilikisha kinyemela! Ndiyo maana kinaitwa ccm! Yaani chama cha majambazi.

Yaani nakumbuka wananchi wote kwa njia moja ama nyingine walichangia ujenzi wa viwanja,through hata ongezeko la kiasi fulani ktk bei za vitu vyote muhimu utakavyonunua dukani km.sabuni, sukari,unga, mchele, mafuta etc... ili viwanja vijengwe..ilikuwa shida aiseee enzi zile.... afadhali baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi, viwanja vingerudi serikalini manake wananchi wote tulichangia nasio wa CCM pekee...... na kila chama kianze kivyake kupata na kujenga mali zake .....kwa kweli haikuwa fair kwa wale watu wengine wasio na vyama au wa vyama vya upinzani ........ na bahati mbaya imebidi wa vyama vya upinzani wakubali yaishe ....... poleni sana.
 
Hivo viwanja vinastahili kuwa vya serikali chini ya usimamizi wa wakala wa viwanja vya michezo au halmashauri za miji. Kutwaliwa na CCM ni UHUNI.
 
mimi nakumbuka uwanja wa ccm kirumba kila mwananchi alijitolea matofali na cement na kampuni ya cocacola iliogeza bei kwa kila chupa ili kufanikisha ujenzi wa ccm kirumba sasa sijjui ilikuwaje ikawa ya chama badala ya serikali
 
CCM ndio Wananchi!
Sisi tusio wana CCM siyo wananchi?Unaposhangilia upuuzi wa CCM uwe na subira,maana hivyo viwanja,majengo na ofisi ilizonazo CCM vilijengwa na watanzania wote.Ilikuwaje vikawa vya chama cha siasa?Kwangu mimi huu ulikuwa uhujumu uchumi na uporaji wa mali za umma kwa maslahi ya waroho wachache.
 
Yaani nakumbuka wananchi wote kwa njia moja ama nyingine walichangia ujenzi wa viwanja,through hata ongezeko la kiasi fulani ktk bei za vitu vyote muhimu utakavyonunua dukani km.sabuni, sukari,unga, mchele, mafuta etc... ili viwanja vijengwe..ilikuwa shida aiseee enzi zile.... afadhali baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi, viwanja vingerudi serikalini manake wananchi wote tulichangia nasio wa CCM pekee...... na kila chama kianze kivyake kupata na kujenga mali zake .....kwa kweli haikuwa fair kwa wale watu wengine wasio na vyama au wa vyama vya upinzani ........ na bahati mbaya imebidi wa vyama vya upinzani wakubali yaishe ....... poleni sana.
Kwa hiyo ukihama ufipa utaenda pale kudai michango yako? CCM ni taasisi, na kama ulichangia, basi ulichangia taasisi. Taasisi ndiyo yenye Mali chini ya bodi ya wadhamini. Mali ziko kwa jina la bodi ya wadhamini
 
Sisi tusio wana CCM siyo wananchi?Unaposhangilia upuuzi wa CCM uwe na subira,maana hivyo viwanja,majengo na ofisi ilizonazo CCM vilijengwa na watanzania wote.Ilikuwaje vikawa vya chama cha siasa?Kwangu mimi huu ulikuwa uhujumu uchumi na uporaji wa mali za umma kwa maslahi ya waroho wachache.
WAKATI VINA JENGWA SI WATANZANIA WOTE WALIKUWA WAFUASI WA ccm AU MUMESAHAU CHAMA KUSHIKA HATAMU , WNZI ZA CHAMA KIMOJA?
 
Back
Top Bottom