Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari
View: https://www.youtube.com/live/X01I9hqOryk?si=VC_ED5SX6_D7M3cL
Kwa ufupi Kihongosi Amesema yafuatayo kwenye Press conference
Amesema kwamba Mgombea Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kampeni kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa kuanzia Oktoba 7, 2025.
-Amesisitiza kuwa CCM inaendelea kufanya kampeni kwa kuzingatia amani na utulivu, ikiwemo kutumia kauli rafiki kwenye kampeni.
- Amesema kwamba kumchagua Dkt. Samia, ni kuchagua Maendeleo, Amani, Umoja na Upendo katika Taifa.
-Amesema kwamba katika maeneo ambayo tayari mgombea Urais, Dkt. Samia amepita kufanya kampeni amekuwa akipokelewa kwa kishindo.
- Amesisitiza wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu pamoja na kushirikiana na vyombo vya dola wanapoona viashiria vya uvunjifu wa amani.
# Mwisho ametoa nafasi kwa waandishi wa habari kuuliza maswali yasiyopungua matano, lakini hakuna aliyeuliza swali.