Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Tena ile ya tom na jerry au rangoHatuwezi chezea bando letu kwa mambo yasiyo na tija.
Hili bando bora nikatazeme tu cartoon
hahah au anime za wajapaniHatuwezi chezea bando letu kwa mambo yasiyo na tija.
Hili bando bora nikatazeme tu cartoon
Hatuwezi chezea bando letu kwa mambo yasiyo na tija.
Hili bando bora nikatazeme tu cartoon
Asante Capt Tesha, October TunatokaKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari
View: https://www.youtube.com/live/X01I9hqOryk?si=VC_ED5SX6_D7M3cL
Kwa ufupi Kihongosi Amesema yafuatayo kwenye Press conference
Amesema kwamba Mgombea Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kampeni kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa kuanzia Oktoba 7, 2025.
-Amesisitiza kuwa CCM inaendelea kufanya kampeni kwa kuzingatia amani na utulivu, ikiwemo kutumia kauli rafiki kwenye kampeni.
- Amesema kwamba kumchagua Dkt. Samia, ni kuchagua Maendeleo, Amani, Umoja na Upendo katika Taifa.
-Amesema kwamba katika maeneo ambayo tayari mgombea Urais, Dkt. Samia amepita kufanya kampeni amekuwa akipokelewa kwa kishindo.
- Amesisitiza wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu pamoja na kushirikiana na vyombo vya dola wanapoona viashiria vya uvunjifu wa amani.
# Mwisho ametoa nafasi kwa waandishi wa habari kuuliza maswali yasiyopungua matano, lakini hakuna aliyeuliza swali.
Shemeji unalizungumziaje swala la Kapteni Tesha?
Mwisho ametoa nafasi kwa waandishi wa habari kuuliza maswali yasiyopungua matano, lakini hakuna aliyeuliza swali.🥺🥺🥺😫😂Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari
View: https://www.youtube.com/live/X01I9hqOryk?si=VC_ED5SX6_D7M3cL
Kwa ufupi Kihongosi Amesema yafuatayo kwenye Press conference
Amesema kwamba Mgombea Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kampeni kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa kuanzia Oktoba 7, 2025.
-Amesisitiza kuwa CCM inaendelea kufanya kampeni kwa kuzingatia amani na utulivu, ikiwemo kutumia kauli rafiki kwenye kampeni.
- Amesema kwamba kumchagua Dkt. Samia, ni kuchagua Maendeleo, Amani, Umoja na Upendo katika Taifa.
-Amesema kwamba katika maeneo ambayo tayari mgombea Urais, Dkt. Samia amepita kufanya kampeni amekuwa akipokelewa kwa kishindo.
- Amesisitiza wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu pamoja na kushirikiana na vyombo vya dola wanapoona viashiria vya uvunjifu wa amani.
# Mwisho ametoa nafasi kwa waandishi wa habari kuuliza maswali yasiyopungua matano, lakini hakuna aliyeuliza swali.
Wakiuliza atajibu? Au atakimbilia kuwapoteza?lakini hakuna aliyeuliza swali.
Tesha ni mwanaume rijali mwenye uwezo wa kumfikisha chura kunako.Shemeji unalizungumziaje swala la Kapteni Tesha?
Acheni hizo mnakua km mnakejeli wazeeWamekurupuka na hawana agendaView attachment 3484154