MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Duh! kama haya kweli basi hii inaweza kuwa gharama kubwa kwa upinzani.... Na hakika, Upinzani bado hawajajiandaa vya kutosha!Leo katika kipindi cha Jahazi cha redio clouds mtangazaji Kibonde amesema CCM imepata wabunge 10 waliopopita bila kupingwa katika majimbo 10 nchini. leo ndio siku ya kwanza ya kampeni je wapinzani watafika salama. Hii ni ishara kwamba CCM bado ina nguvu kwani sio jambo la kawaida kwa vyama vya siasa 18 nchini kushindwa kutoa upinzani wa kweli. Mwalimu Nyerere alishasema hakuna haja ya kukimbilia Ikulu kabla ya kuimarisha chama ngazi ya chini. Chadema kinaonekana kupyaya kwa kuwa ndicho kinaonekana kuwa na nafuu lakini kimefungwa 10 kwa 0 siku ya kwanza ya kampeni. Hii ni ishara ya ushindi wa kishindo kwa CCM ifikapo 2010.
Pipijojo,
Umeshawahi kuangalia mbio za marathon? Kuna jamaa wanachapuka wanaongoza katika duru za mwanzo lakini mbio zinapokaribia kumalizika
wale magwiji wa mbio hizo ndipo wanajitokeza na kuchukua nafasi tatu za juu.
Tusiandikie mate!kiukweli ni marathon ya aina yake,kwani chadema watapewa kombe la makelele na fitina ushindi kwa c.c.m tena wakishindo!
Mwaka huu wabunge 10 wa CCM wamepita bila kupingwa linganisha na mwaka 2005 zaidi ya wabunge 60 wa CCM walipita bila kupingwa.Leo katika kipindi cha Jahazi cha redio clouds mtangazaji Kibonde amesema CCM imepata wabunge 10 waliopopita bila kupingwa katika majimbo 10 nchini. leo ndio siku ya kwanza ya kampeni je wapinzani watafika salama. Hii ni ishara kwamba CCM bado ina nguvu kwani sio jambo la kawaida kwa vyama vya siasa 18 nchini kushindwa kutoa upinzani wa kweli. Mwalimu Nyerere alishasema hakuna haja ya kukimbilia Ikulu kabla ya kuimarisha chama ngazi ya chini. Chadema kinaonekana kupyaya kwa kuwa ndicho kinaonekana kuwa na nafuu lakini kimefungwa 10 kwa 0 siku ya kwanza ya kampeni. Hii ni ishara ya ushindi wa kishindo kwa CCM ifikapo 2010.
Pipijojo,
Umeshawahi kuangalia mbio za marathon? Kuna jamaa wanachapuka wanaongoza katika duru za mwanzo lakini mbio zinapokaribia kumalizika
wale magwiji wa mbio hizo ndipo wanajitokeza na kuchukua nafasi tatu za juu.
hoja ipi?naunga mkono hoja
Pipijojo,
Umeshawahi kuangalia mbio za marathon? Kuna jamaa wanachapuka wanaongoza katika duru za mwanzo lakini mbio zinapokaribia kumalizika
wale magwiji wa mbio hizo ndipo wanajitokeza na kuchukua nafasi tatu za juu.
Hey, whose side are u on?Stop having false hopes! CCM will continue to have a super majority in parliament...that's the bitter truth...
Hey, whose side are u on?
For a man who never gave Obama a chance, he's sure quick to open his can of jam before he realizes he has no bread ! Who'd envy such a person ? LOLHey, whose side are u on?
It doesn't matter whose side I'm on. I'm just being realistic here....[/QUOTE
NN yaani ukiwa mkweli hapa jamvini watu hawapendi wanapenda sana kuintateini sides whoch is very st-p-d. Hakuna haja ya kutukuza sides katika mapambano dhidi ya umaskini....lakini wapi watu wanataka kila mara watu waagyu kivyama.....sipendi hili na kamwe sitalifanya haijalishi chama changu watamipenda ama watanichukia...mimi najua neno moja ...nawapenda watanzania wenzangu..siamini katika vyama kuwa vitaleta ukombozi ( TUMEAMBIWA NA MNYAMAHODZO WATU WANAUZA NAFASI ZA UBUNGE KWA ANACHOKIITA HELA CHAFU) ...naamini katika watu wenye nia na mapenzi mema ya nchi hii ndio watakaoleta ukombozi watu wanaofesi reality kama wewe NN....sioni tabu kuisifu ccm ikifanya jambo jema .....na wala sioni tabu kuikosoa ikiharibu...sioni taabu kuisifiu chadema ikifanya vema..sion tabu kuikosoa
tatizo hapa jamvini kusaidi..tena kusaidi kivyama vyama....watu wana loose objectivity kwa sababu ya vyama vyao NI USHABIKI MAANDAZIII TU.... NARUDIA UKOMBOZI NI KWA WOTE WENYE NIA NJEMA NA TANZANIA SI KUNDI FULANI HIVI...NO HIYO THEORY IMEFELI TUMESHAIONA
mix with yours
For a man who never gave Obama a chance, he's sure quick to open his can of jam before he realizes he has no bread ! Who'd envy such a person ? LOL
NN yaani ukiwa mkweli hapa jamvini watu hawapendi wanapenda sana kuintateini sides whoch is very st-p-d.
Hakuna haja ya kutukuza sides katika mapambano dhidi ya umaskini....
Usipoagyu kivyama, utaagyu kivipi. Nilifikiri kwenye uchaguzi ni vyama vinashindana !lakini wapi watu wanataka kila mara watu waagyu kivyama.....
Hey, what are you doing here ? Kwanza chama chako kikuchukie ? na nani kasema kuna mtu anawachukia watanzania.sipendi hili na kamwe sitalifanya haijalishi chama changu watamipenda ama watanichukia...mimi najua neno moja ...nawapenda watanzania wenzangu..
Hao watu tutawapataje kama si kutokana na vyama. Huyo NN anaefesi reality ataleta ukombozi wapi na linisiamini katika vyama kuwa vitaleta ukombozi...naamini katika watu wenye nia na mapenzi mema ya nchi hii ndio watakaoleta ukombozi watu wanaofesi reality kama wewe NN....
CCM imekaa madarakani miaka karibu hamsini - ama unaisifu ama unaikosoa kwa iliyofanya, sasa taabu liko wapi?sioni tabu kuisifu ccm ikifanya jambo jema .....na wala sioni tabu kuikosoa ikiharibu...
Chadema haijawahi kukaa madarakani hata siku moja - utaisifu ama kuikosoa kwa lipi ? Kukuomba uipe nafasi ya kufanya ama unakosoa ilani yake na kwa lipi, hebu tuambie ?sioni taabu kuisifiu chadema ikifanya vema..sion tabu kuikosoa
mix with yours