The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Hii ni ishara ya ushindi wa kishindo kwa CCM ifikapo 2010.
KWANI TUPO 2009 au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ishara ya ushindi wa kishindo kwa CCM ifikapo 2010.
Duh! kama haya kweli basi hii inaweza kuwa gharama kubwa kwa upinzani.... Na hakika, Upinzani bado hawajajiandaa vya kutosha!
Hata kama angekuwa mmoja aliyepita bila kupingwa, hakuna namna ya kuifanya CCM itoke madarakani siku za karibuni. NImesema mara kadhaa na nitasema tena na tena. Haya makelele na Ubishi humu JF nadhani ni kuweweseka tu kwa watu.
Mambo mazuri hayataki haraka. Kuukata mbuyu kwahitaji moyo lakini inawezekana
Hata CCM wangeanza kwa kupata majimbo 100 bado Rais wakati huu atakuwa Slaa tu. Kama Watanzania hawataibiwa kura zao, lazima wengi wao watamchagua Dr Slaa badala ya Kikwete.
Watanzania wana uhakika wa kuendelea na hali hii mbaya waliyonayo kama hawatafanya mabadiliko makubwa ya utawala. Si wajinga. Watafanya hayo mabadiliko.
Wakati kampeni zitakapopanda moto na makundi makubwa yakajitokeza kumsikia Slaa akizungumzia UFISADI, CCM watahaha na kutaka kufanya fujo zao za kawaida. Watazuia viwanja wakidai ni vyao. Hapo huenda kukawa na vurugu za kweli, kwani wakati huu nadhani hata Polisi wa CCM hawataweza kuthubutu kupiga risasi kwenye umati mkubwa. Mauaji ya Pemba yalitosha.
Ukiritimba wa madaraka wa CCM utakwisha wakati huu. Ni vema wakaacha kuwe na amani badala ya kuondoka kwa vurugu.
Mku hatuwezi kukosa imani pamoja na kwamba lengo la kumsimamisha Dr.Slaa kwa mtazamo wangu ni kuwawezesha Wabunge kushinda au kuchuana na CCM ili kutimiza ile ahadi ya kwanza ya kupata wabunge wengi. Wabunge pasipo kumsimamisha mtu wa uhakika ktk kiti kikubwa ingekuwa vichekesho vikubwa.Duh! wewe kweli una imani....
naona watu bado hawajachoka na umaskini wa tanzania..............sijui wanzania walikulaga nnn??????? kuta mtu anatoa maoni utafikiri kapewa ganzi kabla ya operation na kunza kuongea maneno yasiyo endena na wakati huo.........mjue kuwa kila kitu huwa kinahitaji challenge ili madiliko yatokee..poleni sana watz
Deep down I knew O'Bummer would win coz '08 was the Demcocrats year and people were tired as hell with the GOP.
Deep down, you, Jasusi, and others know that CCM will win in a landslide and will maintain their super majority in parliament. Unabisha?
I wish ningekuwa na Imani ya kama Mkandara japo katika mambo mengine yasiyohusiana na siasa!
Maybe it comes with age lkn kwa hapa nilipo naona vitu kwa uhalisia wake ulioko.
Na uhalisia unaniambia kuwa ccm itashinda viti vingi sana bungeni kulinganisha na upinzani.
Mabadiliko yanawezekana. Hata Kenya walidhani lazima KANU ishinde. Zambia wakadhani ni lazima UNIP. Haikuwa hivyo. What is so different about us? Miaka 50 baada ya UHURU wananchi, karibu wote, bado hawana maji safi, hawana umeme na watoto wao hawana waalimu au vitabu, kisha wasitake mabadiliko? I refuse to believe you.
deep down you NN and others know that under free and fair election CCM will lose.
Correction,Deep down I knew O'Bummer would win coz '08 was the Demcocrats year and people were tired as hell with the GOP.
Deep down, you, Jasusi, and others know that CCM will win in a landslide and will maintain their super majority in parliament. Unabisha?
Mwaka huu wabunge 10 wa CCM wamepita bila kupingwa linganisha na mwaka 2005 zaidi ya wabunge 60 wa CCM walipita bila kupingwa.
Hata CCM wangeanza kwa kupata majimbo 100 bado Rais wakati huu atakuwa Slaa tu. Kama Watanzania hawataibiwa kura zao, lazima wengi wao watamchagua Dr Slaa badala ya Kikwete.
Watanzania wana uhakika wa kuendelea na hali hii mbaya waliyonayo kama hawatafanya mabadiliko makubwa ya utawala. Si wajinga. Watafanya hayo mabadiliko.
Al sahaf aliyekuwa waziri wa habari wa sadam kipindi cha vita vya Iraq,wanajeshi wamarerakni wameshaingia Baghdad yeye anadai bado wakiingia tu Baghdad tutawamaliza hao!endelea kuota hivyo Nov tutakuatna hapa tena JF
Wakati kampeni zitakapopanda moto na makundi makubwa yakajitokeza kumsikia Slaa akizungumzia UFISADI, CCM watahaha na kutaka kufanya fujo zao za kawaida. Watazuia viwanja wakidai ni vyao. Hapo huenda kukawa na vurugu za kweli, kwani wakati huu nadhani hata Polisi wa CCM hawataweza kuthubutu kupiga risasi kwenye umati mkubwa. Mauaji ya Pemba yalitosha.
Ukiritimba wa madaraka wa CCM utakwisha wakati huu. Ni vema wakaacha kuwe na amani badala ya kuondoka kwa vurugu.
It doesn't matter whose side I'm on. I'm just being realistic here....