CCM wapo wengi wanaotaka kura za siri hasa Wazanzibar

CCM wapo wengi wanaotaka kura za siri hasa Wazanzibar

mafeta

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
383
Reaction score
82
Taja waopenda siri na easiopenda. Gvt tatu ni lazima hata kwa kura za wazi
 
Bunge hili ni kiama cha majangili, hata kama ccm itajikamua mpaka kimba la mwisho, serikali ya tanganyika lazima irudi
 
Taja waopenda siri na easiopenda. Gvt tatu ni lazima hata kwa kura za wazi

Zanzibar itabaki kuwa mwiba kwenu jambo si jambo mushaitaja japo haihusiki. Mukilala pia munaiota Zanzibar.
 
Zanzibar itabaki kuwa mwiba kwenu jambo si jambo mushaitaja japo haihusiki. Mukilala pia munaiota Zanzibar.
awaote nani nyie watu wa halua na tende? sisi tunataka tanganyika yetu basi. kama vipi nyie ishieni. mimi nimezaliwa katikati mwa Tanganyika, sijawahi faidika na nyie na wala hata sioni faida yenu. muende tu acheni kutubabaisha.
 
Back
Top Bottom