Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja waopenda siri na easiopenda. Gvt tatu ni lazima hata kwa kura za wazi
awaote nani nyie watu wa halua na tende? sisi tunataka tanganyika yetu basi. kama vipi nyie ishieni. mimi nimezaliwa katikati mwa Tanganyika, sijawahi faidika na nyie na wala hata sioni faida yenu. muende tu acheni kutubabaisha.Zanzibar itabaki kuwa mwiba kwenu jambo si jambo mushaitaja japo haihusiki. Mukilala pia munaiota Zanzibar.