M mafeta JF-Expert Member Joined Jan 14, 2014 Posts 383 Reaction score 82 Mar 1, 2014 #1 Taja waopenda siri na easiopenda. Gvt tatu ni lazima hata kwa kura za wazi
Head teacher JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 1,796 Reaction score 412 Mar 1, 2014 #2 Bunge hili ni kiama cha majangili, hata kama ccm itajikamua mpaka kimba la mwisho, serikali ya tanganyika lazima irudi
Bunge hili ni kiama cha majangili, hata kama ccm itajikamua mpaka kimba la mwisho, serikali ya tanganyika lazima irudi
mzenjiboy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 907 Reaction score 385 Mar 1, 2014 #3 mafeta said: Taja waopenda siri na easiopenda. Gvt tatu ni lazima hata kwa kura za wazi Click to expand... Zanzibar itabaki kuwa mwiba kwenu jambo si jambo mushaitaja japo haihusiki. Mukilala pia munaiota Zanzibar.
mafeta said: Taja waopenda siri na easiopenda. Gvt tatu ni lazima hata kwa kura za wazi Click to expand... Zanzibar itabaki kuwa mwiba kwenu jambo si jambo mushaitaja japo haihusiki. Mukilala pia munaiota Zanzibar.
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Mar 1, 2014 #4 mzenjiboy said: Zanzibar itabaki kuwa mwiba kwenu jambo si jambo mushaitaja japo haihusiki. Mukilala pia munaiota Zanzibar. Click to expand... awaote nani nyie watu wa halua na tende? sisi tunataka tanganyika yetu basi. kama vipi nyie ishieni. mimi nimezaliwa katikati mwa Tanganyika, sijawahi faidika na nyie na wala hata sioni faida yenu. muende tu acheni kutubabaisha.
mzenjiboy said: Zanzibar itabaki kuwa mwiba kwenu jambo si jambo mushaitaja japo haihusiki. Mukilala pia munaiota Zanzibar. Click to expand... awaote nani nyie watu wa halua na tende? sisi tunataka tanganyika yetu basi. kama vipi nyie ishieni. mimi nimezaliwa katikati mwa Tanganyika, sijawahi faidika na nyie na wala hata sioni faida yenu. muende tu acheni kutubabaisha.