PostGE2025 CCM watakaa na watu wa kundi gani kufanya maridhiano na kuandika hata katiba mpya ya mchongo?

PostGE2025 CCM watakaa na watu wa kundi gani kufanya maridhiano na kuandika hata katiba mpya ya mchongo?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Nauliiza hivi kwasababu naamini:
1. CHADEMA watakataa kushiriki
2. ACT nao hawatakubali kushiriki
3. CUF hawatakubali kushiriki
4.TEC hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi
5. Kanisa la Uzima na ufunuo hawatakubali kupeleka mwakikishi/wawakilishi
6. Shura ya Maimamu hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi
7. Vijana wataalataa
8. TLS hawatawakubali kushiriki


Labda tu watengeneza maigizo ya kukutanana na makundi yote ya kijamii ila ukweli mpaka hapa hakuna cha maridhiano wala kuandika katiba mpya.
⁹
Watu katika taasisi hizi na makundi haya ndio pekee watawakubali
1. Jukwaa la wahariri
2. Kanisa la KKKT
3. BAKWATA
4. Kanisa la Mwamposa
5. Wasabato
7 Wafanyakazi
8. Wakulima na makundi mengine ambayo sijayata

Je, makundi haya yana nguvu katika jamii kuliko makundi ambayo hayatawaunga mkono?
 
Hapo cdm na TEC ndio wenye misimamo isiyoyumba. Wote wanaweza kushiriki, lakini watahakikisha matakwa halisi ya umma yanakuwepo. Ni kwa kiwango gani matakwa ya umma yatakubaliwa hapo ndio maamuzi yatafanyika.
 
Back
Top Bottom