Nauliiza hivi kwasababu naamini:
1. CHADEMA watakataa kushiriki
2. ACT nao hawatakubali kushiriki
3. CUF hawatakubali kushiriki
4.TEC hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi
5. Kanisa la Uzima na ufunuo hawatakubali kupeleka mwakikishi/wawakilishi
6. Shura ya Maimamu hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi
7. Vijana wataalataa
8. TLS hawatawakubali kushiriki
Labda tu watengeneza maigizo ya kukutanana na makundi yote ya kijamii ila ukweli mpaka hapa hakuna cha maridhiano wala kuandika katiba mpya.
⁹
Watu katika taasisi hizi na makundi haya ndio pekee watawakubali
1. Jukwaa la wahariri
2. Kanisa la KKKT
3. BAKWATA
4. Kanisa la Mwamposa
5. Wasabato
7 Wafanyakazi
8. Wakulima na makundi mengine ambayo sijayata
Je, makundi haya yana nguvu katika jamii kuliko makundi ambayo hayatawaunga mkono?