CCM watamwandama Mpina kuhakikisha anazuiwa kugombea ili mgombea wao asipate mpinzani yeyote

CCM watamwandama Mpina kuhakikisha anazuiwa kugombea ili mgombea wao asipate mpinzani yeyote

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,311
Reaction score
4,689
Derby ya Samia na mpina haiwezi kutokea kwa sababu ni derby ngumu

Mpina hata asiposhinda lakini atawahenyesha sana kwa kuwaeleza wapiga kura fact ngumu ambazo mpinzani mwingine kwa waliopo Sasa hawezi ! Mpina huwezi kumhonga Wala kumzuia kuongea lolote !!

Samia na timu yake sasa wanaweza kumzuia mpina asigombee kwa kuwa tu watasingizia kanuni na mpina ataondolewa. Kwa kuwa ccm malengo ni kupata mgombea dhaifu na derby pekee ambayo CCM wanaitaka ni hii ya CHAUMMA!

Ngoja tuone
 
Mpina in"asset" ya Samia. Acha propaganda mufirisi!
Hayo ni mawazo Yako ya kipumbavu mpina ni serious weapon kwa samia na ccm ila kwa kuwa hajajiunga chadema inaonekana katumwa na ccm angejiunga chadema mngemuita shujaa kama mlivyofanya kwa lowassa na Fredrick sumaye
 
Ulitaka mpinzani awe nani ? Mpinzani sio lazima atoke kwenye akili Yako iliyojaa matope ya akina John mnyika
Ushauri wa bure jaribu kutumia akilii yako vizuri itakusaidia sana kama sio leo hata kwa kizazi chako.
 
Hayo ni mawazo Yako ya kipumbavu mpina ni serious weapon kwa samia na ccm ila kwa kuwa hajajiunga chadema inaonekana katumwa na ccm angejiunga chadema mngemuita shujaa kama mlivyofanya kwa lowassa na Fredrick sumaye
"Vurugu" zote zile kuanzia kwenye sukari, NK ulishawahi kusikia anaitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge au vikao vya juu vya cham chai?, mengine zaidi hata nikiwambia kichwa chako chepesi mno, ukiona unatanguliza matusi badala ya kujenge hoja wewe ni Debe tupu!
 
Back
Top Bottom