Hayo ni mawazo Yako ya kipumbavu mpina ni serious weapon kwa samia na ccm ila kwa kuwa hajajiunga chadema inaonekana katumwa na ccm angejiunga chadema mngemuita shujaa kama mlivyofanya kwa lowassa na Fredrick sumayeMpina in"asset" ya Samia. Acha propaganda mufirisi!
Mshindani huku hata hiyo Katiba ya ACT wazalendo haijui ππβοΈMshindani wa kweli kabisa anaponzwa na chuki yenu tu kwa chama cha act ila ungeenda kile chama pongezi zingejaa humu
Ushauri wa bure jaribu kutumia akilii yako vizuri itakusaidia sana kama sio leo hata kwa kizazi chako.Ulitaka mpinzani awe nani ? Mpinzani sio lazima atoke kwenye akili Yako iliyojaa matope ya akina John mnyika
"Vurugu" zote zile kuanzia kwenye sukari, NK ulishawahi kusikia anaitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge au vikao vya juu vya cham chai?, mengine zaidi hata nikiwambia kichwa chako chepesi mno, ukiona unatanguliza matusi badala ya kujenge hoja wewe ni Debe tupu!Hayo ni mawazo Yako ya kipumbavu mpina ni serious weapon kwa samia na ccm ila kwa kuwa hajajiunga chadema inaonekana katumwa na ccm angejiunga chadema mngemuita shujaa kama mlivyofanya kwa lowassa na Fredrick sumaye