CCM watashinda, lakini wajue hukumu hiyo itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

CCM watashinda, lakini wajue hukumu hiyo itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Rubbish Rubbish! The mother of arabs! of course!
Mahakama ya wananchi itachemka zaidi trust me mabi ushungi this time atasepa kwenda pemba for ever! Yeye aendelee kutoa mimacho ya bundi tu! Bandari haiuzwi kwa hongo! NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Sidhani kama wanajeshi wa Tanganyika wanakubali ushnzi huu
Kuna blunder moja ataifanya ya kubadiri say mkuu wa majeshi aweke mzanzibar, rebellion itaanzia hapo mana trend ya sasa ni kuwa ana replace watanganyika kwa wazazibari,
 
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya

1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.

2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
hiyo Tanganyika utaidai na mamako we poyoyo. Mbona hamkuidai wakati wa Magufuli? Kwanza hiyo Tanganyika utamdai nani, kuna mtu mlimkopesha? Yaani hamjioni mlivyo wapumbavu? Wengi wenu kufikia 2030 mtakuwa mmeshakufa na presha wakati nchi yetuikiwa iko mbali sana kimaendeleo
 
Hizi mahakama za mchongo, Rostamu alishasema zinapokea maelekezo.

Haijalishi watatoa hukumu gani, Hatutaacha kudai bandari zetu mpaka kieleweke.

Tunajua Majaji wamepewa maelekezo watoe hukumu ya kukubaliana na mkataba huu feki. Kwa hiyo haijalishi wataamua nini, huu mkataba ni wa mchongo
Anzisheni mahakama zenu km mnaweza, kweli mazuzu hayajitambui
 
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya

1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.

2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Watashinda kimchongo
 
Back
Top Bottom