CCM watimuliwa UDOM

Tehe tehe tehee, ubora wa maisha ndo unaohitajika siyo, T-shirt na khanga!
 

Kwani wao wapo peponi
Dhiki walio nayo heri ya wewe
kila kukicha afadhali ya jana
hivi hayo masomo yataingiaje kwenye mwili uliopigika
aluta continua!
 
Wakuu,

Ilikuwa mida ya saa 2 unusu sa 3, gari ya matangazo ilipita UDOM kuwaarifu kuwa kesho ndo siku yao, ghafla walipopita mabweni ya wasichana wakapewa salamu " wabakajiiiiiiiiiiiiiiiii" walipoenda kwa mameni "kichapo".

Usiku mwema.

MBAVU ZANIUMA KWA KICHEKO :laugh: :laugh:

MKWERE ACHIA NGAZI UWE SHUJAA...

 
Hata tuniasia mambo yalianza hivi hivi. kwa wale wanahistoria Vita ya pili ya dunia ilianza kidogo kidogo baadae ikiapick.

Hii migomo inayoendelea mara dar, arusha , iringa, dodoma soon itasambaa nchi nzima then rythym ikikamilika
tunapata TUNISIA effect
 
udom waache unafiki.................wampe kikwete phd (PURE HEAD DAMAGE0 nyingine.............waache uzushi .....si ndiyo waliochanga milioni mbili kwa ajili ya kampeni za kikwete ili hali wakijua kikwete ni msanii tu.........jamani wasomi mtaendelea kuburuzwa kirahisi hivyo mpaka lini....yaani siamini kwamba hata wasomi wanadanganywa kwa pilau.....ajabu na kweli................HII NDO YUDOMU.....MPENI KIKWETE PHD NYINGINE ATASHUGHULIKIA MATATIZO YENU....
WALAHI!?
 

Kwani wao wapo peponi
Dhiki walio nayo heri ya wewe
kila kukicha afadhali ya jana
hivi hayo masomo yataingiaje kwenye mwili uliopigika
aluta continua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…