Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani ushabiki wa vyama vya siasa ufutwe vyuoni. Wanafunzi wabaki na kadi za vyama lakini wapigwe marufuku kushiriki kampeni za vyama mashuleni. Hizi ni zama za Vyama vingi inawezekana siasa zikaamsha chuki mwiongoni mwa wanafunzi kadri siku zinavyosonga mbele
Wakuu,
Ilikuwa mida ya saa 2 unusu sa 3, gari ya matangazo ilipita UDOM kuwaarifu kuwa kesho ndo siku yao, ghafla walipopita mabweni ya wasichana wakapewa salamu " wabakajiiiiiiiiiiiiiiiii" walipoenda kwa mameni "kichapo".
Usiku mwema.