CCM watoa 70,000 mkono wa pole wanafunzi wa Idodi

CCM watoa 70,000 mkono wa pole wanafunzi wa Idodi

Shika adabu yako...!
hamuoni hata aibu wajameni?, elfu 70 kweli?.
Kwani kidogo hiyo? Hivyo vyama vingine vimetoa nini?
natumaini hiyo Idodi ipo chini ya ZZM kama sio CCM, kwanini sasa msiangalie vyama vingine vimetoa nini, onyesheni mfano kwa vyama vingine!
ni mtazamo tu!.
icon10.gif
 
Yeye alisimama kama mwenyekiti wa CCM mkoa na kuiwakilisha CCM taifa kuwa wanatoa 70,000/= dah inauma sana mkuu NL.

Sasa hilo ndo tatizo la sisiemu......viongozi wao wote ni vilaza...huyu Msigwa is just a STD Seven guy, but is a giant business man Njombe, Makambako na Mbeya.....hao raia wa hizo sehemu wanambeba sana kny biashara zake, Je, anarudishiaje fadhila kwa customers wake? Hiyo ilikuwa ni venue nzuri sana ya kuonyesha anajali wateja wake yeye kama yeye.....!
 
jk atoa pipi tatu kwa mtoto kwa niaba ya ccm
Tukiwa bado tuna majonzi kwa wanafunzi walio ungua moto bwenini shule ya sec. Idodi, CCM wametoa mkono wa pole 70,000/= ametangaza mwenyekiti wa CCM Mkoa Iringa Jah People huku shule ya msingi Idodi wametoa 500,000/=.
Mheshimiwa Lukuvi ametoa 1,200,000/=
Mheshimiwa Prof.Msola ametoa 500,000/=
Mheshimiwa Anna Makinda ametoa 100,000/=
Walio bakia wamechangia na kufikia 500,000/=

The more Dataz
--Mh.Lukuvi amewaambia wananchi wake wasisumbuke kuanza kufyatua tofali ameaidi kutoa mil.10 kwa ajili ya ukarabati wa bweni.
--Mmiliki wa mabus ya Upendo ya Dar-Iringa na Dar-Njombe ambaye ni diwani wa Idodi aliahilisha safari za Dar na kubeba waombelezaji toka Iringa mjini kwenda Idodi kuhudhuria mazishi.
Respect wakuu
Nawakilisha.
 
mkuu vipi bwana mbona unaleta tena yale ya ze utamu hapa,njoeni tujadili mambo ya maana japo hili pia laweza kuwa la maana kwako........hii noma mkuu,co kabisa.......[
QUOTE=George_Porjie;563965]hamuoni hata aibu wajameni?, elfu 70 kweli?.

natumaini hiyo Idodi ipo chini ya ZZM kama sio CCM, kwanini sasa msiangalie vyama vingine vimetoa nini, onyesheni mfano kwa vyama vingine!
ni mtazamo tu!.
icon10.gif
[/QUOTE]
 
CCM inawezekana mtoa habari amesahau baadhi ya sifuri mbele jamani . Kwani Idodi ina wakazi wangapi? na wangapi wanategemea kupiga kura mwakani na je hali ya upinzani ikoje pale Idodi ?
 
Je, anarudishiaje fadhila kwa customers wake? Hiyo ilikuwa ni venue nzuri sana ya kuonyesha anajali wateja wake yeye kama yeye.....!

Naona alie rudisha fadhila kidogo ni mmiliki wa mabus ya Upendo yeye alihailisha safari za Dar na kubeba waombelezaji kupeleka msibani Idodi lakini Jah unajua tena huyu ni Mkinga dah bahili sana
 
CCM inawezekana mtoa habari amesahau baadhi ya sifuri mbele jamani . Kwani Idodi ina wakazi wangapi? na wangapi wanategemea kupiga kura mwakani na je hali ya upinzani ikoje pale Idodi ?

MJ1 hii ni kweli wewe unafikiri nimekosea kuandika? Angalia kuna member hapa kathibitisha kwa kumuuliza kaka ake. Idodi huko Lukuvi anakubalika na wananchi iwa wanachanga pesa kwenye kumchukulia form za kugombea ubunge. Upinzani kule ni dhaifu unajua tena Unyaluni kule watu wana misimamo ya ajabu na walisha nyweshwa maji ya bendera ya kijani.

yah, kuna kaka yangu yuko huko iringa na alikuwepo mazishini, ni kweli mafisadi wametoa mkono wa pole 70,000 bila senti.

Mkuu ni dhahiri mafisadi hana undugu wala urafiki na hawana huruma kabisa.
 
Naona alie rudisha fadhila kidogo ni mmiliki wa mabus ya Upendo yeye alihailisha safari za Dar na kubeba waombelezaji kupeleka msibani Idodi lakini Jah unajua tena huyu ni Mkinga dah bahili sana

Unajua hawa matajiri wetu upatikanaji wa mali zao una walakini! Usikute yeye kny hizo mali hafaidi lolote masherti tu ya waganga, na pengine hatakiwa kutoa rambirambi etc.....wanani boa sana!

FYI wakati uchaguzi wa sisiem wa mwaka 2007 uliowaingiza kina Jah madarakani nilikuwa Njombe na uchaguzi wa mkoa wa IR ulifanyika Njombe....! Amini usiamini asilimia kubwa ya viongozi waliochaguliwa ni STD Seven leavers, including huyo Jah People wale wenye experience kama kina Makwete, Mungai,Nyimbo etc ilipigwa kampeni na underdogs kuwapiga chini and no one kati yao alichaguliwa....isipokuwa Prof.Msolla ambaye aliambulia nafikiri ujumbe something like that!

Sasa madhara ya kuwa na viongozi wasiokuwa na shule ndo kama haya, ccm wana miradi mingi sana Njombe, Mak, Iringa mjini, Mufindi.....na wanatengeneza hela nyingi sana na wanamihela.....and so hakuna justification ya wao kutoa ubani wa only Ths 70,000/= hawa kina Jah walivyozoea ubahiri kny business zao, they think kila sehemu ni kuapply ubahiri tu.....nimechoka sana!
 
FYI wakati uchaguzi wa sisiem wa mwaka 2007 uliowaingiza kina Jah madarakani nilikuwa Njombe na uchaguzi wa mkoa wa IR ulifanyika Njombe....!

Mkuu siasa za mkoa wa IR ni ngumu sana wakikukataa wanachama ndo basi tena hata aje JK kukupigia kampeni wanakutosa kama walivyo mtosa Mangula lakini unajua viongozi wengi waliopo kwenye system wa Mkoa wa Iringa wanasahau sana nyumbani ndo maana wanaamua kuweka watu wanao wapenda wao angalia mfano Mangula walimuuliza swali dogo tu wakati akiwa kama Katibu mkuu wa CCM taifa aliufanyia nini Mkoa wa Iringa jamaa blah blah kibao huwezi amini Mangula hajawahi mtoa MwanaIringa yoyote yule basi wakamtosa mpaka leo hii kafulia analima viazi Njombe. Hali kadharika Katibu mkuu Kiongozi Luhanjo ni wa Iringa lakini hajafanya mchango wowote ule katika mkoa wake unategemea huyu akigombea uongozi asimame na Jah people watampitisha nani si Jah atapita hata kama Kilaza. Angalia mfano mzuri wa Anna Makinda amekuwepo bungeni zaidi ya miaka 20 lakini ameshindwa hata kujenga daraja la kwenda kwa mama ake mzazi Njombe viongozi wengi wa Iringa wanajisahau sana na wanasahau nyumbani wananchi wanapo amua kuwatosa na kuwaweka vilaza nafikiri ndo wanaona ndo uamuzi sahihi maana wasomi bla bla kibao alafu wanaondoka wanaonekana kipindi cha uchaguzi.
 
MKuu Fidel 70,000/= si hela ya kufanyia retouch kwa wiki jamani, hii sasa ni kuwatukana wana Idodi!
 
MKuu Fidel 70,000/= si hela ya kufanyia retouch kwa wiki jamani, hii sasa ni kuwatukana wana Idodi!

Hehehe mkuu hiyo ndo pesa chama chako kimetoa kama pole kwa wafiwa yaani ubani.
 
mbona wakuu mnajadili sana hiyo 70 mnasahau zile millions za akina lukuvi na msolla,labda chama kiliamua kumwachia mwenye jimbo[lukuvi]ajitutumue,
ila kwa ushauri wangu next time ikitokea ishu kama hii ile michango kama ya akina lukuvi iwe inatolewa kwa ujumla afu wanasema wanachama wa ccm wamechanga kiasi flani,hii ishu ya 70 hatajirudia tena.
 
Hehehe mkuu hiyo ndo pesa chama chako kimetoa kama pole kwa wafiwa yaani ubani.

Wacha nirudishe kadi mkuu!

Tukiacha hilo, je, ndo kusema hawajaguswa kabisa na huu msiba, yaani ni kitu cha kawaida kwao,

Pili ni issue ya kiusalama kumbe walikuwa wanafungiwa wasitoroke ndo maana walishindwa kutoka moto uliposhika kasi,, sasa hapa nadhani kunahitaji mabadiliko katika ujenzi na uwekaji wa vifaa vya usalama

so hiyo 10million aliyotoa lukuvi kama sikosei ni bora wahakikishe hawarudishi mfumo wa zamani
 
Wacha nirudishe kadi mkuu!

Tukiacha hilo, je, ndo kusema hawajaguswa kabisa na huu msiba, yaani ni kitu cha kawaida kwao,
so hiyo 10million aliyotoa lukuvi kama sikosei ni bora wahakikishe hawarudishi mfumo wa zamani

Hehehe usirudishe kaka kaa nayo tu kama pambo.
Mi naona CCM hili janga wao hawajaguswa ila baadhi yao mmoja mmoja ameguswa ndo maana Lukuvi katoa milions hizo kwa ajili ya ukarabati wa bweni.
 
Mkuu siasa za mkoa wa IR ni ngumu sana wakikukataa wanachama ndo basi tena hata aje JK kukupigia kampeni wanakutosa kama walivyo mtosa Mangula lakini unajua viongozi wengi waliopo kwenye system wa Mkoa wa Iringa wanasahau sana nyumbani ndo maana wanaamua kuweka watu wanao wapenda wao angalia mfano Mangula walimuuliza swali dogo tu wakati akiwa kama Katibu mkuu wa CCM taifa aliufanyia nini Mkoa wa Iringa jamaa blah blah kibao huwezi amini Mangula hajawahi mtoa MwanaIringa yoyote yule basi wakamtosa mpaka leo hii kafulia analima viazi Njombe. Hali kadharika Katibu mkuu Kiongozi Luhanjo ni wa Iringa lakini hajafanya mchango wowote ule katika mkoa wake unategemea huyu akigombea uongozi asimame na Jah people watampitisha nani si Jah atapita hata kama Kilaza. Angalia mfano mzuri wa Anna Makinda amekuwepo bungeni zaidi ya miaka 20 lakini ameshindwa hata kujenga daraja la kwenda kwa mama ake mzazi Njombe viongozi wengi wa Iringa wanajisahau sana na wanasahau nyumbani wananchi wanapo amua kuwatosa na kuwaweka vilaza nafikiri ndo wanaona ndo uamuzi sahihi maana wasomi bla bla kibao alafu wanaondoka wanaonekana kipindi cha uchaguzi.

Poti boy...hako nikaugonjwa ka home kaka.....! nakubaliana na wewe wananchi wa IR wakiamua hata ashuke God hawabadili misimamo yao kabisa!

Lakini mkuu hii challenge na sisi young generation inatakiwa tuichukue na tuanze kuaction now......tayari mi nimeanza on my side kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wangu....vipi mkuu huko?

Hata nahivyo wasiend up kuwachagua viongozi wa aina ya Jah, huyu Jah mwaka ule alikata sana kisu......mabasi ya Upendo yalipelekwa wilaya zote hadi vijijini kuchukua wajumbe for uchaguzi na kila mjumbe alikabidhiwa bingo including (mdingi wangu), point yangu ni kuwa wangeweza kuubadilisha uongozi wao but wakiweka viongozi wenye shule na vision kidogo kwa maendeleo ya mkoa including vitu kama hivi vya majanga makubwa kama haya....viongozi wangekuwa makini sidhani kama wakubali kuwakilisha ka 70k....!
 
wakuu kutoa ni moyo usambe si utajiri.

nawakilisha
 
Lakini mkuu hii challenge na sisi young generation inatakiwa tuichukue na tuanze kuaction now......tayari mi nimeanza on my side kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wangu....vipi mkuu huko?!

Yeah mkuu hata mimi nimeanza kujitengenezea mazingira lakini najaribu kumshawishi Geoff agombee Makambako ambwage Makweta kwa kupitia CHADEMA anaogopa kulogwa eti dah na jamaa pale anakubalika wanamfahamu wengi tumpe moyo jamaa agombee 2010.
 
Safi sana home boy! he!hehehehee.....Geoff kumbe naye home boy eeeeh, if yes, basi kati ya majimbo ambayo ni rahisi sana kuchukulika Njombe, ni hilo la Makweta (Njombe Kaskazini) na lile la Yono Auction....hawa wote ni wasanii watupu na wanachi kule wamewachoka sana! So itabidi tuongelee pembeni kidogo on this...kijana aende....mind you mwaka 2005 Makweta si kubebwa na JK yule jamaa wa CHADEMA alikuwa anamng'oa tena kwa kishindo kizito....!

Kule kwa Makinda, raia dizaini fulani na wazee pale bado wako na trust naye, coz huwa anawabeba kiani, hasa kny mambo ya Pembejeo.....nimeenda mwezi wa saba nimesikia mambo yake kule bush kabisa...so kidogo kunaweza kuwa na ugumu wa kumng'oa!

Lakini mwamko wa wananchi kwa ujumla kule vijijini hasa vijana ni mkubwa sana, akiwekwa mgombea wa upinzani ambaye ni makini atamoa kibano cha kutosha na hata kubwaga!

Target yangu 2015 or 2020 wacha nifanye investments za kutosha economically and politically mkuu!
 
Fidel, naona umeshikia bango mkono wa CCM... wewe umetoa ngapi vile..?
 
Last edited:
Fidel, naona umeshikia bango mkono wa CCM... wewe umetoa ngapi vile..?

Yaani Kibunango mchango wangu mkubwa kwa kutoa updates na habari za huko Idodi unaona kama nacheza kuna wananchi wapo Italy,USA,Iraq,Colombia n.k wa Idodi wanapata habari. Chama chako ni kupe tena yule wa mbwa.
 
Back
Top Bottom