CCM watoa 70,000 mkono wa pole wanafunzi wa Idodi

Sitaki kuamini kama kweli wametoa hii hela,ila kama ni kweli itakuwa dhihaka kubwa sana kwa marehemu.

Au labda mdau aliye tupa habari hii amekosea mahali,yawezekana aliye toa ni M/Kiti wa Serikali za Mtaa huko Idodi na si mchango wa chama.

Sitaki kuyashuhudia haya.

*****Natamaniee natamani eee natamani kuwa kama mtoto*****
 
well,
i think i was wrong!
..........to believe that we can thympasize ''hata bila hela'',i thought kwamba money and all that cannot be a a compasation to someones' life
 
Safi sana home boy! he!hehehehee.....Geoff kumbe naye home boy eeeeh, if yes, !

Yeak mkuu NL kijana ni home boy jamaa ake sana na home boy Fredy Mbuna ngoja nimwambie ajipange na yeye target yake ni 2015.
 
Yeak mkuu NL kijana ni home boy jamaa ake sana na home boy Fredy Mbuna ngoja nimwambie ajipange na yeye target yake ni 2015.
yeah!home boy wangu sana tu wa ukweli.mpira alicheza sana wakati anasoma lupembe sekondari
 
Yaani Kibunango mchango wangu mkubwa kwa kutoa updates na habari za huko Idodi unaona kama nacheza kuna wananchi wapo Italy,USA,Iraq,Colombia n.k wa Idodi wanapata habari. Chama chako ni kupe tena yule wa mbwa.
Shukrani kwa updates, lakini isiwe tabu! kwani kwa kufanya hivyo ni kuzidisha majonzi tu kwa wanafamilia ndugu na marafiki waliopatwa na janga hilo.

Btw CCM kamwe haiwezi kuwa kupe, kumbuka kuwa ni CCM iliyotutoa kwenye kunyonywa!

Ni hayo tu kwa leo
 

kuna jamaa sasa hivi tumemuandaa,anaitwa SIMON SIMIME,ni mtu wangu wa karibu sana.tunapotofautiana na yeye ni ile dhana yake ya kugombea kupitia chama tawala,BASI!ila tumempisha ajaribu.

............after yeye,may be i will go through your plans guys!
HALLA
 
kama hawana hela, yale mabilioni waliyokwapua kwenye EPA yameisha? au wanayaweka kwa ajili ya uchaguzi. CCM kwa machozi ya samaki hakuna anaye tuweza, na ndiyo maana kwenye chaguzi tunapeta kama hatuna akili nzuri. Kwa CCM kila kitu ni issue ya ulaji, siyo kutoa!
 
Yeak mkuu NL kijana ni home boy jamaa ake sana na home boy Fredy Mbuna ngoja nimwambie ajipange na yeye target yake ni 2015.

Ha!ha!ha!ha! well and good.....tunaweza kuwa na timu nzuri sana......therefore!


Sasa mmemuandaaje wakati bado yupo sisiemu? ataleta kipya gani huko? je, mmcheki na Makweta kama anagombea au la? angalia asije akajidhalilisha bure huyo Simon..........! the best move ni kugombea outside chama cha mafisadi.....na kuhakikishia Njombe wananchi uelewa wao ni mkubwa sana.....ila hawataki mtu jeuri, wanataka mtu anayeweza kuwasikiliza na kuipa kibano serikali, mtu anayeweza kupigania maslahi yao hasa mambo ya Pembejeo (Mbolea, Ridomil, seeds etc), mambo ya barabara kule bush sio nzuri, maji safi na salama bado ni issue, hospital or vituo vya afya na vifaa, madawa na wahudumu, shule na walimu...kumbuka mwamko wa Elimu Njombe wanatisha ni upo juu sana sasa hivi ila tu wanakosa support ya wabunge wao!

Nikitulia naweza kuanisha maeneo ambayo mtu serious anayetaka kugombea Njombe 2010, ajiandae kuyafanyia kazi.......ukigusa hayo maeneo kura zote zako Njombe.....wale watu hawana simile.......! So mwambie Simon afikirie tena mara mbili on this matter kama kweli anataka kushinda!
 
ccm na serikalui yake ndio wamesababisha hayo yatokee, kwakushindwa kuweka mazingira mazuri ya elimu hadi kusababisha vijana wetu wanatumia mishumaa, lakini leo wanatoa sh 70,000/= kama mchango wao, huu ni mzaa mkubwa, kwanza walitakiwa kubeba jukumu lote.
 
Una hakika na hilo unalosema?
 
Madawati, vitabu na ghasia zingine wameachiwa wapambe wa CCM kuyafanya
 
hela za kumpikia majungu spika wanazo...!!!!!!!bure kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…