"CCM Wauaji, CCM wauaji" Sauti zilisikika wakiimba katika mazishi ya Gen Z aliyeuawa kikatili na polisi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Hii ilikuwa Rombo, jana Novemba 8. Vijana walikuwa wakimzika Gen Z mwenzao, aliyeuawa wakati wa maandamano ya kudai haki yao. Wakati wa mazishi, sauti za waombolezaji zilisikika zikisema ‘Wauaji CCM’, huku vilio na hasira za kizazi kilichochoshwa na ukatili vikigubika shughuli za mazishi.

Your browser is not able to display this video.
 
Kutoka kuwa chama cha uhuru mpaka kuwa chama cha machinjachinja🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…