payuka
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 829
- 127
Jana Niliona kwenye TBC1 wakati Viongozi wa Chadema Wakihojiwa ( Prof. Baregu na Mabere Marando).
Katika uchambuzi Prof. Baregu aligusia point moja kuu sana ambayo nadhani inachangia sana kwa watanzania kutotumia uhuru wao kidemokrasia katika kuhoji na Kufanya maamuzi mbalimbali dhidi ya serikali iliyoko madarakani. Sababu yenyewe ni HOFU ambayo CCM wanajitahidi sana kuwapandikizia watu.
Utasikia habari nyingi mno za kuogofya watu!!!

- mara ooh mkichagua wapinzani wataleta vita............
- Haiwezekani kutoa elimu wala afya bure.....Nchi zingine wamewezaje?