tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Katibu wa NEC Organaizesheni ya Chama cha Mapinduzi CCM Paul Matiko Chacha amesema kwa sasa nchini hakuna upinzani wenye nguvu kama ilivyokuwa miaka ya nyuma akitolea mfano wa upinzani wa Agustino Lyatonga Mrema(aliyewahi kuwa mgombea Urais kupitia NCCR Mageuzi) Freeman Mbowe, Dkt. Wilbroad Slaa na Maalim Seif Shariff Hamad
Soma Pia: Mwanahalisi: Ya Lissu yavuja; agoma kutumika kama kete ya maridhiano
Kauli hiyo ya Chacha ameitoa leo Agosti 1, 2026 alipopokelewa jijini Dar es Salaam mara baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Julai 29, 2026.