CCM wawasifia Mbowe, Mrema kwa “upinzani mkali”

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Katibu wa NEC Organaizesheni ya Chama cha Mapinduzi CCM Paul Matiko Chacha amesema kwa sasa nchini hakuna upinzani wenye nguvu kama ilivyokuwa miaka ya nyuma akitolea mfano wa upinzani wa Agustino Lyatonga Mrema(aliyewahi kuwa mgombea Urais kupitia NCCR Mageuzi) Freeman Mbowe, Dkt. Wilbroad Slaa na Maalim Seif Shariff Hamad

Soma Pia: Mwanahalisi: Ya Lissu yavuja; agoma kutumika kama kete ya maridhiano

Kauli hiyo ya Chacha ameitoa leo Agosti 1, 2026 alipopokelewa jijini Dar es Salaam mara baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Julai 29, 2026.

Your browser is not able to display this video.

​
 
 
Vilevile siku hizi hatuna rais....
 
unategemea waseme nini? Hao wamesha ishiwa mbinu za kupambana na cdm
 
Hiyo miaka aliwahi kuwasifu au ndiyo anatuletea miyeyusho yake tu na kutuona mazoba wake.Ukinzani ule wa zama za giza aufananishe na huu wa leo hii?Chacha aache mawenge mziki ndiyo huo kakabidhiwa.Mbona atacheza ritungu usingizini!
 
Wachawee!!😂😂😂😂
 
Sasa mbona wanahangaika na hii CHADEMA ya Lissu na Heche, mchana na usiku?
 
Poti nae kumbe kichwa cheupe kabisa....
Anafikiri watu wote malofa au sio?....
Watu wanajua nani ni mpinzani wa kweli na nani alikuwa pandikizi la chama dume...haha
Anatumia shambulio dhaifu sana la kisaikolojia dhidi ya anaowaogopa kisiasa.Amekabidhiwa fuko la uchawi lazima anyolewe kipara ngoto na wakinzani hasa CHADEMA.
 
Hizo ni sifa za marehemu. Ameanza na swaga hizo huyo kapoteza mechi kabla haijaanza.
 
Mpinzani wa kweli ktk nchi hii alikua maalim Seif na hivi sasa Lissu. Hili kila mtu anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…