Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.
CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani.
Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa.
Hebu angalia hiyo video hapo chini na uone kitu gani cha ajabu wasichokijua wao walichokuwa wanakishangaa!!
Wanajifanya kuwa na uchungu wakati wao ndiyo chanzo.