Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
lazima wawachague kwa maana hata wao walipitia humo humoKinachoshangaza na kukera zaidi, uchaguzi ukifika watarudi kuomba kura na kuna wananchi watawachagua.
Kwa ahadi zilezileKinachoshangaza na kukera zaidi, uchaguzi ukifika watarudi kuomba kura na kuna wananchi watawachagua.
we ishi maisha Yako achana na ccm utanishukuruKuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.
CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani.
Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa.
Hebu angalia hiyo video hapo chini na uone kitu gani cha ajabu wasichokijua wao walichokuwa wanakishangaa!!
View attachment 3038489
Wanajifanya kuwa na uchungu wakati wao ndiyo chanzo.
Hapo utakuta wameenda msururu wa ma v8 yenye thamani ya bilion 2Kuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.
CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani.
Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa.
Hebu angalia hiyo video hapo chini na uone kitu gani cha ajabu wasichokijua wao walichokuwa wanakishangaa!!
View attachment 3038489
Wanajifanya kuwa na uchungu wakati wao ndiyo chanzo.
Sio kwamba wanayatengeneza isipokua hawana akili za kuyatatua from the first place. Mimi tangu nimeanza shule nishashuhudia chaguzi kuu 5 mpaka sasa hivi na kila uchaguzi ahadi ni zile zile kutoka kwa chama ni kile kile.Wanatengeneza matatizo wenyewe ili wayasolve muone wanafanya kazi
Grrrrrrrrrr !!!!!!!!CCM hatuishi kwa mazoea 😄
Binafsi nisinge walaumu CCM kama wangechaguliwa kihalali na wananchi hao kwa utashi wao wenyewe.Kinachoshangaza na kukera zaidi, uchaguzi ukifika watarudi kuomba kura na kuna wananchi watawachagua.
Pamoja na figisu za CCM kwenye uchaguzi lakini hata wakiamua uchaguzi uwe wa huru na haki bado kuna uwezekano wa wao kushinda, haitakua rahisi kwa wapinzani kama wengi wanavyofikiri. Bado kuna kundi kubwa sana la wananchi hauwaambii kitu kuhusu hicho chama.Binafsi nisinge walaumu CCM kama wangechaguliwa kihalali na wananchi hao kwa utashi wao wenyewe.
Nisinge sema chochote kabisa dhidi ya CCM iliyo wekwa madarakani kwa kura za wananchi walio shiriki kupiga kura HURU na kura zao zikahesabika kuwapa ushindi bila ya hila au hadaa ndani ya kura hizo.
Hili ndilo ninalo omba Mungu atusaidie, wananchi wawachague viongozi wao huru kabisa bila ya mizengwe yoyote ile.
Pamoja na ushuhuda wako hapa, nikukumbushe tu kwamba uchaguzi si zoezi la siku hiyo hiyo moja hapo kituoni ulipokuwa ukifanyia 'ukarani' wako. Ukieleza kwa uhakika kwamba hao watu ulio washuhudia hapo kituoni hawakupewa ubwabwa jana yake ili siku ufuatayo wakawapigie kura hao walio washibisha kwa mlo mmoja huo,, hapo sitakuwa na hoja yoyote dhidi ya ushuhuda wako.Pamoja na figisu za CCM kwenye uchaguzi lakini hata wakiamua uchaguzi uwe wa huru na haki bado kuna uwezekano wa wao kushinda, haitakua rahisi kwa wapinzani kama wengi wanavyofikiri. Bado kuna kundi kubwa sana la wananchi hauwaambii kitu kuhusu hicho chama. Uchaguzi wa mwaka 2015 nilikua karani wa uchaguzi kwenye moja ya vituo uko vijijini kura walizopata wapinzani hata 10 hazikufika na uchaguzi haukua na figisu zozote pale kituoni. Nchi hii bado ina kundi kubwa sana la wajinga ambao wanadanganyika kirahisi na wanapiga kura kwa kuongozwa na mahaba yao kwa vyama sio sera na utekelezaji wa kiongozi.
Iweke vizuri hiyo picha mkuu 'Nyange'. Akina Madilu hawakuwa tofauti sana na hawa wawili enzi hizo!View attachment 3038706
CCM woye!