CCM wilaya ya Hai yaibua zoezi la kuwatambua simu na Majina ya wagombea Nafasi za chama kuanzia Mashina hadi kata kabla ya uchaguzi mkuu wa chama

CCM wilaya ya Hai yaibua zoezi la kuwatambua simu na Majina ya wagombea Nafasi za chama kuanzia Mashina hadi kata kabla ya uchaguzi mkuu wa chama

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa chama hicho.

Zoezi hilo linaonyesha linaratibiwa na mbunge wa Jimbo kwa kushirikiana na mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo.

Zoezi hilo linaenda mbali kwa kuomba Pia namba zasimu Za wagombea hao , jambo ambalo linahatarisha uchaguzi mzima ndani ya ccm kwenye Jimbo la hai mkoani Kilimanjaro.

Iwapo Zoezi hilo halitasimamishwa haraka lina takiua chama kwa sababu CDM wamehakikisha kuwa wanaochaguliwa ngazi ya mashina hadi Kata ni kutoka CHADEMA Ili Kiki ondò a CCM madarakani mwaka 2025 .

Ninashauri Zoezi hilo lisitishwe haraka iwezekanavyo Lina madhara makubwa sana .
 
Sasa Wilaya ya Hai itawezaje kuiondoa CCM madarakani?
 
Back
Top Bottom