Membe alisema ana wabunge wake kadhaa ambao hata wakitaka wamuue hatawatajaKwa mtindo ambao chama cha CCM Mpya kinaendeshwa 'wasaliti' hawatakoma si Tabora tu bali nchi nzima na amini wapo wengi ndani ya CCM hawakubaliani na jinsi chama na serikali inavyoendeshwa.
03 November 2020
CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi.
Katibu wa CCM wilaya ya Tabora Nicolaus Malema akizungumza wakati wa kiwashukuru wananchi na wanachama wa chama hicho huku akiwa amekaa chini, amesema chama kinapaswa kujisafisha kwanza kabla ya kuwashughulikia wa nje ya chama.
Amewataka madiwani na mbunge kutoa utumishi uliotukuka kwa wananchi huku akiwaonywa madiwani wasiowajibika kuwa hawatamaliza miaka mitano.
Chama hicho wilaya ya Tabora, katika kimewashukuru na kuwapongeza wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kukipatia ushindi chama hicho.
Chanzo: Mwananchi digital
Philip MasungwaKwa mtindo ambao chama cha CCM Mpya kinaendeshwa 'wasaliti' hawatakoma si Tabora tu bali nchi nzima na amini wapo wengi ndani ya CCM hawakubaliani na jinsi chama na serikali inavyoendeshwa.
Hofu za Siri iliyotendeka 28 October 2020 chini ya mwamvuli wa CCM Mpya tayari imeanza kuwatafuna hata baada ya kuwatia kizuizini viongozi wa vyama upinzani Wanaotaka kuongoza maandamano ya amani .Wameanza Kulana Hata Kabla Hawajahapishana. Mmewamliza Wapizani wenu, then ni Zamu ya Kulana Nyinyi Kwa Ninyi.. Aya Twende Safari.. Fisi akikosa Mawindo ugeukia Wanae/wenzake walio weak...
Waliopo Tabora CCM haina wasaliti, bali mnalazimisha wananchi kuchagua mbunge asiekubalika. 2015 Mwakasaka alishindwa, Mkapa akaja Tabora kusawazisha mambo. Mwaka huu Mwakasaka ameshindwa vibaya, kikwete na ndugai wamekuja kusawazisha mambo.03 November 2020