Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndio inajielewa Sasa inatudhihilishia wananchi kuwa siyo Mali ya mtu/watu fulani. Kuna genge moja la kisiasa ukishakuwa maarufu tu wa kutukana tukana hovyo wewe ndo unakuwa ushajihakikishia utawala wa kudumu kugombea ndani ya Chama Tena utapitishwa kwa kura za ndio na Hapana utafikiri wanachagua mwenyekiti wa TANU.
CCM itaendelea kuwa kioo Cha siasa nchini na taasisi inayoendesha vyama vyingine nchini. Ukitaka kuamini Hilo CDM ipo tayari hata kumuengua mgombea wake ili tu kigogo aliekatwa kutoka CCM apewe yeye kugombea.
Masele Ni mtovu wa nidhamuMLALE SALAMA
Njoo na ushahidi ueleweke zaidi.Masele Ni mtovu wa nidhamu
Masele ameiabisha nchi huko kwenye bunge la Afrika kwa ushamba wake wa kitoto
Masele aliomba ma body guards na ving'ora,Mambo ya kishamba kabisa
Yap hii ni mission ya NdugaiNadhani Ndugai atakuwa alienda kupiga goti kwa chairman kumuomba amkate Masele. Bifu za kitoto sana
Eti "kioo cha siasa". Kioo cha siasa rushwa zote hizo?! Labda choo cha siasa. Kioo cha siasa my foot.CCM ndio inajielewa Sasa inatudhihilishia wananchi kuwa siyo Mali ya mtu/watu fulani. Kuna genge moja la kisiasa ukishakuwa maarufu tu wa kutukana tukana hovyo wewe ndo unakuwa ushajihakikishia utawala wa kudumu kugombea ndani ya Chama Tena utapitishwa kwa kura za ndio na Hapana utafikiri wanachagua mwenyekiti wa TANU.
CCM itaendelea kuwa kioo Cha siasa nchini na taasisi inayoendesha vyama vyingine nchini. Ukitaka kuamini Hilo CDM ipo tayari hata kumuengua mgombea wake ili tu kigogo aliekatwa kutoka CCM apewe yeye kugombea.
fafanua tuelewe zaidi, alifanya nini?Mngejua aliyoyafanya huyu fala usingeandika huu upuuzi wako. Huyo masele kule china sahivi angekua kashaliwa kichwa sema anapuuzwa tuu kama hivo alivofanyiwa ni upendeleo tuu.
Jenga hoja utaeleweka acha matusi ya chekechea. PANUKA NA INGIA NDANI ZAIDIKwa hiyo ilitakiwa mungu ndiye amtenganishe Masele na ubunge!!
Akili yako itakuwa ulibadilishana na kima. Kenge wewe
Wao wanaamini dunia inatuhitaji sisi zaidi kuliko tunavyoihitaji, fikra zao bado ni za enzi za ukoloni, si ajabu bado wana misemo ya kizamani, beberu, kabaila nk....watu sasa hivi tuko kwenye sayansi ya information wao wamebaki kule kule...Serekali ya awamu ya tano ni yakibandindu
Kama kuna alimuelewa anieleweshe na mimiWao wanaamini dunia inatuhitaji sisi zaidi kuliko tunavyoihitaji, fikra zao bado ni za enzi za ukoloni, si ajabu bado wana misemo ya kizamani, beberu, kabaila nk....watu sasa hivi tuko kwenye sayansi ya information wao wamebaki kule kule...