CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

Acha porojo masele kalifanyia nn jimbo! Bingwa wa wajumbe tu wananchi wamechoka kuongozwa na mbunge anayeonekana Siku za uchaguzi wakati kero ni nyingi mno jimboni
 
Hakuna kitu zaidi ya kuabudiana
 
Magufuli ni janga la taifa! Inatakiwa asipewe kura kabisa Oct 2020. Liwe fundisho kwa vizazi vijavyo kwamba ukipewa ridhaa ya kuongoza taifa hili, usiendekeze mambo ya hovyo!
 
Badala ya kumsaidia Masele ili baadae tuwe na wanadiplomasia nguli kama vile Salim. A Salim, Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa yeye anakwenda kuzima nyota inayochipukia ya vijana wetu.
Hii ni serikali ya ajabu sana isiyogroom viongozi!

Yaani kununua wapinzani kwake ni bora kuliko kugroom vijana wenye uelekeo mzuri wa future.

Kama Masele alikosea sehemu, huo ndo ujana, lakini kijana akikosea unamfunda kisha unamuongoza

No wonder diplomasia ya nchi yetu imekufa kwa sababu Jamaa anaona diplomasia kama kitu kisicho na maana kuliko kujenga mabarabara!
 
Eti "kioo cha siasa". Kioo cha siasa rushwa zote hizo?! Labda choo cha siasa. Kioo cha siasa my foot.
 
Kwa hiyo ilitakiwa mungu ndiye amtenganishe Masele na ubunge!!

Akili yako itakuwa ulibadilishana na kima. Kenge wewe
Jenga hoja utaeleweka acha matusi ya chekechea. PANUKA NA INGIA NDANI ZAIDI
 
Serekali ya awamu ya tano ni yakibandindu
Wao wanaamini dunia inatuhitaji sisi zaidi kuliko tunavyoihitaji, fikra zao bado ni za enzi za ukoloni, si ajabu bado wana misemo ya kizamani, beberu, kabaila nk....watu sasa hivi tuko kwenye sayansi ya information wao wamebaki kule kule...
 
Wao wanaamini dunia inatuhitaji sisi zaidi kuliko tunavyoihitaji, fikra zao bado ni za enzi za ukoloni, si ajabu bado wana misemo ya kizamani, beberu, kabaila nk....watu sasa hivi tuko kwenye sayansi ya information wao wamebaki kule kule...
Kama kuna alimuelewa anieleweshe na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…