Nenda kwenye Hansard za bungeNjoo na ushahidi ueleweke zaidi.
Afisa wa TISS uyoKwani awamu yake huko AU haijaisha?
Hatutaki viongozi wa maisha, ndani ya nchi na Afrika nzima.
UBUNGE MIAKA MITANO YA JAMHURI NA MITANO YA AU HUKO INATOSHA!
Tuko milioni 60, Masele yeye ana ujuzi gani wa kipekee ambao wengine hawana?
Harvard my arse. Andrew Chenge went to Harvard to learn how to sell the country in mid-day robbery contracts as Attorney General.
Masele kule aliko AU kagombana nao!
Hapa ndani Spika kagombana nae.
Wizara Mambo ya Nje kagombana nao!
Hawezi diplomasia!
Shinyaga gani? wakati ni wa mbogwe geitaNa wala shinyanga hakubaliki. Juzi baada ya jina la katambi kutangazwa ilikuwa km sherehe
@mudawote ilikuwaje Masele amuue Shillembi?Kwa ufupi tu
Mambo ya twiter unayaamini?Maselle Ni Afisa Kipenyo Huyo wanajuana wenyewe kwà wenyewe nyie tafuteni Ngawila tu mle na Familia zenu Haya masuala yatawachosha tu
Throw back Edward lowassa 2015.Eti "kioo cha siasa". Kioo cha siasa rushwa zote hizo?! Labda choo cha siasa. Kioo cha siasa my foot.
Heee sasa unabisha nn na wkt mm naishi shinyanga na Masele alikuwa mbunge wa shinyanga mjini. Na kwao ni ukenyengeShinyaga gani? wakati ni wa mbogwe geita
"Sumu haionjwi" Mbowe.Hakuna kitu zaidi ya kuabudiana
Hata ongea yako inaonyeshe WEWE NDIYE KENGE HALISI[emoji38]Kwa hiyo ilitakiwa mungu ndiye amtenganishe Masele na ubunge!!
Akili yako itakuwa ulibadilishana na kima. Kenge wewe
Mkuu SHILINDE ndo kiumbe gani hiki?Yaani kama vile Shilinde alivyopitishwa na Chama kisa tu alihama kutoka Chadema,so sad.
Jitahidi kujisomea na kufuatilia mambo ya nchi na dunia kwa ujumla, utaboresha uelewa wako. Licha ya kwamba nilifahamu mapema lakini pia nimefika Jerusalem na Tel Aviv nchini Israel. Ni kwamba ubalozi wa Tanzania hauko Jerusalem bali uko Tel Aviv. Nchi zenye ubalozi Jerusalem mpaka kufikia muda huu ni United States na Guatemala pekee. Nchi nyingine zote zenye uhusiano mzuri na Israel balozi zao ziko Tel Aviv.Masuala ya kidiplomasia ni dynamic na sio static, mfano; kipindi cha Nyerere hatukuwa na mahusiano mazuri na taifa la Israel hadi kupelekea kutokuwa na mahusiano ya kibalozi, leo hii katika utawala wa Magufuli kupitia Mahiga tulifungua ubalozi wetu pale Jerusalem na wala sio Tel Aviv.
Mfano mwingine, kipindi cha Nyerere EAC ilikufa, kipindi cha mkapa ikafufuliwa, kipindi cha kikwete ikayumba, mpaka sasa inayumba.
Mfano mwingine, kipindi cha Obama, Marekani walisaini maridhiano na Iran, leo hii Potus katupilia mbali makubaliano yote na sanctions zinawekwa kila siku, vp kuhusu mahusiano yao na China kipindi hiki?
Leo hii UAE wanasaini makubaliano na Israel na hakuna cha kushangaza, hakuna mahusiano ya kidiplomasia ya kudumu au ugomvi wa kudumu, whatever can happen in between.
Mahusiano ya Rwanda na Uganda unayaonaje kwa sasa licha ya urafiki wa muda mrefu baina ya Kagame na Museveni?
Usipotoshe, hakuna mtu aliyeteuliwa kimataifa alafu Magufuli akabana, kama yupo tutajie.
Mwisho, chama chochote hakipangiwi taratibu, kinajiwekea taratibu zake chenyewe na wanachama wanaridhia. Huyo Masele analielewa hilo na anajua huko AU asingefika bila mwamvuli wa chama, sasa kama baadae akakengeuka na kujiona kama mkubwa kuzidi chama, mkubwa kajionyesha, imekula kwake.
Usikimbie point ya msingi, hayo mapungufu nimeyapokea, pointi ya msingi ni Tanzania kuwa na Ubalozi Israel wakati hapo awali hatukuwa na mahusiano mazuri ya kidiplomasia.Jitahidi kujisomea na kufuatilia mambo ya nchi na dunia kwa ujumla, utaboresha uelewa wako. Licha ya kwamba nilifahamu mapema lakini pia nimefika Jerusalem na Tel Aviv nchini Israel. Ni kwamba ubalozi wa Tanzania hauko Jerusalem bali uko Tel Aviv. Nchi zenye ubalozi Jerusalem mpaka kufikia muda huu ni United States na Guatemala pekee. Nchi nyingine zote zenye uhusiano mzuri na Israel balozi zao ziko Tel Aviv.
Mapungufu haya kwenye hoja yako tayali yanaonesha ulivyo mvivu wa kujisomea na kuandika kishabiki zaidi kuliko uhalisia wa mambo.
Nimekuelewa, ni kweli diplomasia ya nchi hubadilika kulingana na wakati, lakini si kwa kiwango cha kumfitini mzawa ili akose vyote, maana si kwamba unamkomoa yeye tu bali ni hasara kubwa kwa nchi.Usikimbie point ya msingi, hayo mapungufu nimeyapokea, pointi ya msingi ni Tanzania kuwa na Ubalozi Israel wakati hapo awali hatukuwa na mahusiano mazuri ya kidiplomasia.
Sijamfuatilia in details huyu jamaa kwa hiyo siwezi ongelea zaidi suala lake, nilichoongelea mimi ni general concept ya flexibility ya diplomasia, anything can happen at anytime.Nimekuelewa, ni kweli diplomasia ya nchi hubadilika kulingana na wakati, lakini si kwa kiwango cha kumfitini mzawa ili akose vyote, maana si kwamba unamkomoa yeye tu bali ni hasara kubwa kwa nchi.
Masele ni kijana mwelewa na anasikiliza wazee, ikiwa wanaona aliwakosea kibinafsi ni kiasi cha kumuita tu na kumweleza ajirekebishe, lakini kutumia interest binafsi kuangamiza taifa nao ni uhujumu uchumi na si utawala bora kwa nchi.