CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

Kuna jambo wanaCCM wanatakiwa kulielewa na waonyeshe kwamba wamelielewa. CCM inajisuka upya, CCM inafanya overhaul inataka Taasisi kuwa kubwa kuliko mtu.

Na ili Hilo litimie maumivu hayatakoma mpaka wanataasisi waelewe Hilo.

Ni Kama ambavyo katika Serikali yake alitimua timua Ila watu bado wakawa hawajamuelewa Ila alipomtimua Mkurugenzi wa Taasisi Ogopwa Viongozi serikalini wakajua kwamba sasa muda wa masihara kweli hakuna.
 
CCM ya sasa ni ya amri ya mtu mmoja, kuumia ama kupona inategemea ameamkaje. Kwa sasa wala siyo taasisi tena.
 
Acha majungu wewe BAVICHA

Magufuli amemuwezesha yule binti wa Mzee Malecela kupata ukurugenzi huko WHO sababu zikiwa ni chuki za kishamba za Jiwe.
 
Unamjua Masele kuliko Magufuli wewe?Alipokuwa Harvard unaju alikutana na akina nani,je kama ni kibaraka unajuaje?Ukiona Rais wa nchi amefanya kitu hoji kimya kimya kwanza, ukiona kuna kitu kiko nje ya uwezo wako nyamaza,utaonekana wa busara zaidi.Mwenzio ana vyombo vingi nyuma yake,wewe una nini?
 
Inategemea mwenye chama ameamkaje ? Si alishasema anatumia kanuni hii milkshake
 
Hawa vijana,bure kabisa,wamemwangusha Mkuu,
Makonda,Ali hapi,DC wa hai,RC Chalamira,Kafurila,
Vijana wengi waliopewa madaraka,wameweka tamaa mbele,wizi,kujilimbikizia Mali,ubabe wa kijinga,show off nyingi,hakuna wanachoweza kuonyesha kwamba wamefsnya kusaidia vijana wenzao,Mavunde,tangu awe Mbunge,pale Dodoma,hataki kabisa kukutsna na vijana,alishindwa hata kusaidia vijana wapate unafuu wa Kodi ya Mambo poa Gym,
Wananchi wa Ihumwa,wamezulumiwa ardhi,malipo kiduchu ,hakuwahi hata kwenda kuongea nao,ni mbwembwe tu,za ujana,
Ukiacha waziri Biteko,Jafo,Lukuvi,mawaziri wengine vijana,ni pumba tupu,
 
Masele?,eti masele yeye ni nani amekatwa chenge itakuwa masele
 
Kaanzishe chama umteue wewe
 
Amesoma harvard akaishia kua meneja wa tigo mwanza?
 
Magu hapendi watu genius, anawaonea wivu
 
Maguzo ni jipu, period!
 

Leta faida 5 zilizopatikana kwa nchi baada ya kuwa makamu ya hilo bunge ili tuendelee kujadili
 
Leta faida 5 zilizopatikana kwa nchi baada ya kuwa makamu ya hilo bunge ili tuendelee kujadili
1. Ajira ya Masele
2. Pesa za kigeni..analpwa kwa dola
3. Mahusiano ya kimataifa
 
Ila hili la MASELE japo sio mtu wa siasa lakini ni Kijana machari sana , kama ana mapungufu ni kurekebisha kidogo, kichwa kiko safi sana ni internation figure. kama tume m silence basi tena.
Na yeye aweza kuwa na dharau kiasi kwamba hakukubalika kwao ,Why Wajumbe wamkate?
Nadhani miongoni mwa nafasi 10 za Mheshimiwa atamchukua maana naye yuko safi huwa anachunguza kwa undani zaidi'
La mwisho Kama amesoma Havard University ambayo nilipata admission nikakosa sponsor na connection tokea kijijini, tena amesoma huyu jamaa King Maker . ZIMO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…