CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?


Rubish kioo cha kupitisha hao akina gwajiboy na mavieo yao ya ngono mitandaoni. Aibu napata mimi hicho chama kimekwisha kinatuletea aibu watu wa kawe kwakweli. Halafu unaonekana hujasoma contents za uzi umeanzio mipasho badala ya kusoma uelewe nini kinaongewa Mr. Masele anajitambua na kujiheshimu sana ni mtu makini sana ndiyo maana walimchagua awaongoze hilo bunge la Africa. Huko wanachagua mtu mwenye uwezo kutompitisha ni makosa makubwa. Kuna siku atakuja kuinuliwa kwakuwa ni mtu muadilifu asiye na makandokando kama wengine wapenda mapambio.
 


HUyu Jmaaa anabifu na Ndugai nakumbuka.
 
Tunataka national figure kwanza international badae,
Kwa hiyobtika kawa mbunge hapo shy amefanya nini au ametoa hoja gani yenye maslahi kwa taifa?
 
Tunataka national figure kwanza international badae,
Kwa hiyobtika kawa mbunge hapo shy amefanya nini au ametoa hoja gani yenye maslahi kwa taifa?
Mational figure ni nani ambaye hawezi kusema ktk viwango vya kimataifa?
Shy amefanya nini wanajua wana shy lakini maendeleo mengine ni indirect, hawezi kuja na hela kila mtu ampatie ila aweza kusababisha sera za kupata hela kitaifa.
Mi Loli modo wangu ni Chenge
 
Kumbuka 2015 alipita kwa mbinde sana sasa usidhani ukihonga CCM unaweza kuhonga na wananchi.
Ina maana bado hajatoa ushirikianao na jimbo lake.
Pia ujue anaweza kupitishwa na CCM lakini wananchi wakamtosa sasa hapo huko bunge la africa aatafikaje?
Hilo ni swali nimekuachia?
 
Niliweka kuwa labda ana dharau au kutokubalika. Mbona wajumbe wamemkata?. Ila ni kijana mzuri mengine wawe molded, ndio maana ya kuandaa viongozi. Hawa ni watoto wadogo wanahitaji miongozo
 
Masele hafanyi kazi kwa maslahi mapana ya nchi Spika aliyekuwa Masele akimpiga Vita hamjui vizuri kuwa Ni msimamia maslahi ya Tanzania yeye akawa anamponda asiyemjua vizuri

To hell na umakamu wake mjinga mkubwa Masele mtu gani asiyejielewa na asiyeelewa Nani Ni Nani

Tanzania haijawahi pata mwakilishi wa Bunge la Pan African mjinga Kama Masele
 
Ila katika wanaume wanaojiamini na wenye misimamo thabiti Masele hiachi kumtaja...nikikumbuka lile sakata lake dah...handsup!
Masele hufai kuwa ccm..wewe ni akili kubwa!

Hamna kitu hapo , akili kubwa ya nini na wapi? Hawa ndio walikuwa vikaragosi vya Vasco Dagama sasa JIWE anavisambaratisha!! Huyu enzi ya Vasco Dagama alikuwa boi wa mwanae.
 
Nani amewahi mwona mchunga ng'ombe akitumia demokrasi kuchunga? Kila wakati wapo na fimbo.
 
Hoja ni masele au maslahi ya taifa...kamanda aneshindwa majukum mstari wa mbele hurudishwa nyuma akajitafakari wakati wenzake wanapiganisha vita ,jemedari atakapomuona anastahili kupewa kamandi vitani atapewa ila si lazima iwe ile aliyoharibu mwanzoni...
Kuendelea kuwa na kamanda mmoja wakati wapo makamanda wengine damu inachemka nao wanasubili nafasi waonyeshe umahiri wao vitani sidhani km ni busara...je ikatokea kamanda huyo akafa vitani ndo unaenda kujaribu wengine au?
Bahati mbaya adui akajua madhaifu ya kamanda wako unatarajiaje...andaa makamanda wengi adui asijue km unayempenda zaidi ni kamanda flani.
Asante
 
Idadi kubwa ya waafrika wanaograduate Havard hawana maslahi kwa bara lao bali wanapikwa kwa long term plans za kuendeleza mikakati ya wazungu dhidi ya Afrika....

Wake up
 
Idadi kubwa ya waafrika wanaograduate Havard hawana maslahi kwa bara lao bali wanapikwa kwa long term plans za kuendeleza mikakati ya wazungu dhidi ya Afrika....

Wake up
Hiyo ni kulingana na mtazamo wako tu haina ukweli wowote.
 
.
Wewe ndo hauna Akili kwa kumunanga gwajima kuhusu kufanya ngona wakati wewe Kila siku unogonoka kufanya ngono hata hiyohiyo ngono ndo imetuleta duniani sote.

Au ndo unataka kutuaminisha hapa kuwa wewe Ni bikra siyo?
Kwa mtu anaejielewa hawezi kumuhukumu mtu kwa kitendo ambacho hata yeye anakifanya Kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…