Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Enyi wana CCM wa kweli, jifunzeni toka kwa wenzenu. Naona mmezoea kutumia propaganda kujisafisha ilhali wananchi wenye akili wanaona jinsi mlivyo wachafu na mnanuka.
Haya sasa ndugu zenu wa Democrats (CCM YA MAREKANI) mwaka huu wamefanya kama mnavyo fanyaga.
Wamewatumia akina Mwijaku wa Marekani, wametumia TBC na Clouds Tv za marekani lakini mwisho wa siku wamarekani wamesema HAPANA.
Mwakani kuna dalili za kutokea kitu kama hiki ila tofauti na CCM ya Marekani, nyie mtakufa mazima.
Imeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa Marekani.